-
SAUTI, Elimu ya vyuo vikuu vya Afrika iko chini sana ikilinganishwa na ya vyuo vikuu vya mabara mengine
Jul 08, 2017 05:16Watalaam wa elimu barani Afrika wamekiri kwamba ukosefu wa kiwango cha ubora wa elimu barani humo kimesababisha kudorora kwa raslimali yenye uwezo wa kuinua maendeleo kwa kasi inayotakiwa.
-
Nyaraka mpya zafichua nafasi ya Ufaransa katika mauaji ya kimbari ya Rwanda
Jul 01, 2017 08:35Nyaraka mpya za kihistoria zilizochapishwa hivi karibuni kwa mara nyingine tena zimethibitisha nafasi ya Ufaransa katika mauaji ya kimbari ya Rwanda baada ya kupita miaka 23 tangu kutekelezwa mauaji hayo.
-
SAUTI: Rwanda yasoma bajeti yake leo yaonyesha ongezeko la asilimia 7.6%, kilimo chazidi kutupwa mkono
Jun 08, 2017 10:57Rwanda imetangaza bajeti yake sambamba na baadhi ya nchi nyingine za Jumuiya ya Afrika mashariki.
-
SAUTI: Kongamano la viongozi wa Afrika la Sayansi na Teknolojia lamemalizika Kigali, Rwanda bila kufikiwa makubaliano
May 12, 2017 12:31Kongamano la siku tatu lililokuwa likifanyika mjini Kigali, Rwanda kuhusiana na masuala ya sayansi na teknolojia limemalizika bila kufikiwa makubaliano tarajiwa.
-
UNESCO yaafiki ombi la Rwanda kuhusu kumbukizi za mauaji ya kimbari 1994
May 11, 2017 10:26Mkuu wa Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) ametangaza kuunga mkono ombi la Rwanda la kutaka maeneo manne yenye kumbukumbu ya mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 yajumuishwe katika orodha ya Turathi za Dunia ya shirika hilo.
-
SAUTI: Viongozi wa nchi za Umoja wa Afrika wakamilisha kikao chao mjini Kigali Rwanda na ajenda ya 'kuchapa kazi na kuachana na maneno'
May 08, 2017 12:17Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za bara la Afrika wamekamilisha kikao chao cha faragha kilichodumu kwa siku mbili mjini Kigali, Rwanda.
-
Morocco yafungua rasmi ubalozi wake nchini Rwanda
Apr 15, 2017 03:25Uhusiano wa pande mbili wa Morocco na Rwanda unatazamiwa kuimarika baada ya serikali ya Rabat kufungua rasmi ubalozi wake mjini Kigali.
-
SAUTI, Serikali ya Rwanda yaendelea kuinyoshea Ufaransa kidole cha lawama kwa kuhusika katika mauaji ya kimbari mwaka 1994, manusura wasimulia
Apr 13, 2017 12:47Manusura wa mauaji ya kimbari ya Rwanda ya mwaka 1994 huko wilaya ya Karongi magharibi mwa nchi hiyo, wameyalaani majeshi ya Ufaransa kwa kuhusika kwao kwa kiwango cha juu kwenye mauaji hayo.
-
Alkhamisi, 06 Aprili, 2017
Apr 06, 2017 11:53Leo ni Alkhamisi tarehe 08 Rajab 1438 Hijria sawa na 6 Aprili, 2017
-
SAUTI, Wapinzani wailaumu serikali ya Rwanda kwa kusema msamaha wa Papa Francis kuhusu mauaji ya halaiki ya Rwanda, unatosha.
Apr 05, 2017 12:54Serikali ya Rwanda imetupilia mbali baadhi ya madai ya wakereketwa ambao awali walisema kuwa, Papa Francis hajaomba msamahama ipasavyo kuhusu ya namna Kanisa Katoliki duniani lilivyohusika katika mauaji ya kimbari nchini Rwanda.