-
Maafisa polisi zaidi ya 140 wa Rwanda wawasili nchini Sudan Kusini
Apr 05, 2017 03:13Rwanda imetuma makumi ya maafisa wa polisi wa kikosi kipya cha maafisa wake wa kulinda amani nchini Sudan Kusini.
-
Maafisa wa kulinda amani wa Rwanda kuanza kuwasili Sudan Kusini kesho
Mar 24, 2017 02:56Jeshi la Polisi la Rwanda limetuma suhula na zana za kivita mjini Juba, zitakazotumiwa na kikosi kipya cha maafisa wake wa kulinda amani nchini Sudan Kusini.
-
Sauti: Rais wa Benki ya Dunia ataka juhudi za pamoja kutokomeza umasikini
Mar 22, 2017 11:38Rais wa Benki ya Dunia yuko Rwanda
-
Papa akiri kosa la Kanisa Katoliki katika mauaji ya kimbari Rwanda, aomba msamaha
Mar 20, 2017 11:29Kiongozi wa Wakatoliki Duniani amekiri kuwa kuwa Kanisa Katoliki lilifanya makosa wakati wa mauaji ya kimbari nchini Rwanda ana ameomba msamaha kutokana na jambo hilo.
-
Waasi wa kundi la FDLR kutoka Rwanda wajisalimisha kwa UN, Congo
Mar 19, 2017 23:32Idadi kadhaa ya waasi wa kundi la FDLR wa Rwanda walioko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamejisalimisha kwa askari wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa waliko mashariki mwa nchi hiyo.
-
Viongozi wa kidini nchini Rwanda waunga mkono upangaji uzazi
Feb 12, 2017 04:25Viongozi wa kidini nchini Rwanda wamekutana katika mji mkuu Kigali kujadili njia za kuboresha afya ya uzazi.
-
Rwanda yawafuta kazi makumi ya polisi kwa kula rushwa
Feb 08, 2017 00:05Serikali ya Rwanda imewafukuza kazi maafisa polisi 200 waliohusishwa na ufisadi nchini humo. Uchunguzi wa hivi karibuni uliofanywa na Taasisi ya Transparency International umeonyesha kuwa Rwanda ni nchi ya tatu yenye ufisadi wa kiwango cha chini katika nchi za chini ya Jangwa la Sahara barani Afrika.
-
Congo DR yataka kufukuzwa waasi wa Rwanda, Sudan Kusini katika ardhi ya nchi hiyo
Jan 12, 2017 23:28Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeutaka Umoja wa Mataifa kutayarisha mazingira ya kuwaondoa waasi wa Rwanda na Sudan Kusini katika ardhi ya nchi hiyo.
-
Rwanda yataka kupatiwa ufumbuzi mgogoro na jirani yake, Burundi
Dec 17, 2016 13:16Rais Paul Kagame wa Rwanda amesema kuwa, nchi yake inataka kupatiwa ufumbuzi mgogoro na jirani yake Burundi kupitia njia ya mazungumzo
-
Kuendelea kuhukumiwa wafanya mauaji ya kimbari nchini Rwanda
Dec 05, 2016 00:26Licha ya kupita miaka zaidi ya 20 tangu yalipotokea mauaji ya kimbari nchini Rwanda, watendaji ya jinai hizo wanaendelea kuhukumiwa hadi leo hii.