-
Mahakama ya Kijeshi Rwanda yaanza kusikiliza kesi ya Seyoboka
Dec 01, 2016 11:30Mahakama ya Kijeshi ya Rwanda leo imeanza kusikiliza kesi ya afisa wa zamani wa jeshi la nchi hiyo aliyerejeshwa nyumbani kutoka Canada mwezi uliopita kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya kimbari ya 1994.
-
Rwanda kuchunguza kuhusika Wafaransa katika mauaji ya kimbari
Nov 30, 2016 04:08Ofisi ya Mwendesha Mashtaka Rwanda imeanzisha uchunguzi wa jinai kuhusu kuhusika raia 20 wa Ufaransa katika mauaji ya kimbari ya Rwanda ya mwaka 1994 dhidi ya Watutsi
-
SAUTI: Kikao cha wananchi mjini Kigali
Nov 15, 2016 07:07Wanasayansi na watafiti kutoka nchi zinazoendelea wametangaza kwamba wanakabiliwa na tatizo la ukosefu wa fedha hali inayodhoofisha tafiti zinazofanywa kwenye mataifa. Hata hivyo juhudi za hivi karibuni zinaonyesha huenda hali ikabadilika. Mwandishi wa Radio Tehran mjini Kigali na ripoti zaidi
-
Uholanzi yawarejesha Rwanda washukiwa 2 wa mauaji ya kimbari
Nov 13, 2016 12:48Uholanzi imewarejesha nchini mwao washukiwa wawili wa mauaji ya kimbari yaliyotokea nchini Rwanda mwaka 1994.
-
Morocco yaelekea Afrika Mashariki kutafuta uungaji mkono AU
Oct 20, 2016 10:04Mfalme Mohammed wa VI wa Morocco ameanza ziara ya nchi tatu za Afrika Mashariki katika juhudi za kutafuta uungaji mkono wa kurejea nchi hiyo kuwa mwananchama wa Umoja wa Afrika, baada ya kujiondoa kwenye umoja huo zaidi ya miongo mitatu iliyopita.
-
Ufaransa yafufua uchunguzi wa mauaji ya rais wa zamani wa Rwanda
Oct 08, 2016 10:26Ufaransa imeanzisha tena uchunguzi wa mauaji ya rais wa zamani wa Rwanda, Juvenal Habyarimana, yaliyopelekea kuanza kwa mauji ya kimbari nchini humo mwaka 1994.
-
Rwanda yaimarisha usalama katika kukabiliana na ugaidi tarajiwa
Sep 01, 2016 03:23Serikali ya Rwanda imetangaza kuimarisha usalama katika maeneo tofauti ya nchi hiyo kwa lengo la kuzuia kutokea mashambulizi ya kigaidi nchini.
-
Rwanda yatahadharisha magaidi, yaua washukiwa 4
Aug 23, 2016 01:41Vyombo vya usalama nchini Rwanda vimesema havitafumbia macho yeyote atakayejaribu kujihusisha na mambo ya ugaidi kwa lengo la kuhatarisha usalama na amani ya nchi hiyo.
-
EALA kusuluhisha uhasama kati ya Rwanda na Burundi
Aug 09, 2016 08:41Bunge la Afrika Mashariki EALA limesema karibuni hivi litaanza kuchunguza kwa shabaha ya kuupatia ufumbuzi mzozo na uhasama kati ya nchi jirani za Rwanda na Burundi.
-
Ripoti: Uganda yaongoza kwa visa vya uhalifu Afrika Mashariki
Jul 26, 2016 12:25Utafiti mpya umefichua kuwa, Uganda ndiyo inayoongoza kwa visa vya uhalifu wa kutumia silaha za moto katika kanda ya Afrika Mashariki.