-
Mvutano katika uhusiano wa Rwanda na Burundi
Mar 28, 2016 03:22Chama tawala Burundi kimemtuhumu Rais wa Rwanda kuwa anatekeleza maangamizi ya kizazi. Paschal Nyabenda mkuu wa chama tawala cha Burundi CNDD-FDD ameashiria maangamizi ya kizazi yaliyojiri Rwanda na kueleza kuwa Rais Paul Kagame wa nchi hiyo anawasajili vijana wa Burundi katika kambi za wakimbizi zilizopo Rwanda na kuwapatia mafunzo, ili baadaye wakirejea nchini kwao watekeleze mauaji ya kimbari.
-
Rais wa Rwanda atuhumiwa na Burundi 'kusafirisha' mauaji ya kimbari
Mar 27, 2016 22:31Chama tawala nchini Burundi cha CNDD-FDD kimemtuhumu Rais Paul Kagame wa Rwanda kuwa anataka "kusafirisha" mauaji ya kimbari, huku uhusiano kati ya nchi mbili hizo jirani ukizidi kuharibika.
-
Mtuhumiwa na mauaji ya kimbari ya Rwanda akabidhiwa kwa mahakama ya nchi hiyo
Mar 20, 2016 22:16Ladislas Ntaganzwa ambaye anayetuhumiwa kuhusika na mauaji ya kimbari yaliyofanyika mwaka 1994 nchini Rwanda jana alikabidhiwa kwa vyombo vya mahakama ya nchi hiyo baada ya kukamatwa nchini Congo DR mwaka jana.
-
Rwanda na Guinea Conakry kuimarisha uhusiano wao
Mar 10, 2016 04:37Rwanda na Guinea Conakry zimesaini mikataba takriban saba ya kuimarisha uhusiano wa pande mbili katika nyuga tofauti.
-
Nchi za Afrika Mashariki kupiga marufuku mitumba
Feb 27, 2016 22:59Viongozi wa nchi za Afrika Mashariki watakutana Arusha, Tanzania Jumatano ijayo kujadili upigaji marufuku uingizaji wa nguo zilizotumika au mitumba, magari yaliyotumika na bidhaa za ngozi kutoka nje ya eneo eneo hilo.
-
Rwanda yataka wakimbizi wa Burundi waondoke
Feb 24, 2016 07:09Rwanda imesema ni lazima wakimbizi wa Burundi walioko kwenye nchi hiyo wahamishiwe kwenye nchi ya tatu.
-
Rwanda na Tanzania zaahidi kuboresha uhusiano
Feb 19, 2016 04:11Serikali za Rwanda zimetangaza azma ya kuimarisha uhusiano na ushirikiano wa pande mbili, kikanda na kimataifa na kuweka kando hitilafu zilizolemaza muamala wa pande mbili hizo katika miaka ya hivi karibuni.
-
Matatizo ya wakimbizi wa Burundi nchini Tanzania
Feb 18, 2016 21:57Karibu wakimbizi 130,000 kutoka Burundi wameingia Tanzania kufuatia mgogoro unaoendelea ndani ya nchi yao.
-
Paspoti za kielektroniki kuzinduliwa Afrika Mashariki
Feb 17, 2016 03:55Raia wa Nchi za Afrika Mashariki wataanza kutumia paspoti za kielektroniki ambazo zitatumika kurahisisha usafiri kwa wananchi wa eneo hilo.
-
Warundi waandamana kulaani 'hujuma' ya Rwanda
Feb 13, 2016 11:57Katika kile kinachoonekana ni kuzidi kuharibika uhusiano kati ya Kigali na Bujumbura, maelfu ya wananchi wa Burundi wamefanya maandamano kuilaani Rwanda kwa kile wanachodai kuwa inafanya hujuma ya moja kwa moja dhidi ya nchi yao.