-
Kabuga, mtuhumiwa wa mauaji ya kimbari Rwanda akwepa ufunguzi wa kesi yake
Sep 29, 2022 08:51Felicien Kabuga anayetuhumiwa kushiriki katika mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 nchini Rwanda ameripotiwa kukataa kuhudhuria ufunguzi wa kesi dhidi yake katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ya mjini Hague nchini Uholanzi.
-
UN yawahamishia Rwanda watafuta hifadhi 100 kutoka Libya
Sep 02, 2022 07:36Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR limetangaza kuwa limewahamishia nchini Rwanda makumi ya watu wanaotafuta hifadhi waliokuwa nchini Libya.
-
Mpango wa UK wawaacha bila makazi wahanga wa mauaji ya kimbari Rwanda
Sep 01, 2022 03:06Wahanga wa mauaji ya kimbari nchini Rwanda waliofurushwa katika mabweni walikokuwa wakiishi kutokana na mpango tata wa wakimbizi wa Uingereza, wanalalamika kuwa wameachwa bila pahala pa kuishi, licha ya mabweni hayo kusalia bila watu.
-
Upinzani DRC wakosoa vikali mikakati ya Rais Tshisekedi ya kukabiliana na Rwanda
Aug 06, 2022 22:29Wapinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamemlaumu vikali Rais Felix Tshisekedi na mikakati yake ya kuamiliana na Rwanda kufuatia ripoti iliyotolewa hivi karibuni na wataalamu wa Umoja wa Mataifa inayoeleza kwamba serikali ya Kigali imekuwa ikilisaidia na kuliunga mkono kundi la waasi wa M23 linalopigana na serikali ya Kinshasa.
-
Wataalamu wa UN: Rwanda inawaunga mkono waasi wa M23 Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Aug 05, 2022 03:43Vikosi vya jeshi la Rwanda viliwashambulia askari ndani ya ardhi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na vililisaidia na kulipatia na silaha kundi la waasi wa M23.
-
Kagame asema atagombea tena urais wa Rwanda 2024
Jul 09, 2022 22:16Rais Paul Kagame wa Rwanda, ambaye amekuweko madarakani tangu yalipohitimishwa mauaji ya kimbari nchini humo mwaka 1994, amedokeza kuwa atagombea tena urais katika uchaguzi unaotazamiwa kufanyika 2024.
-
Waasi wa M23: Makubaliano ya DRC na Rwanda hayatuhusu
Jul 08, 2022 05:34Kundi la waasi wa M23 linaloendesha harakati zake mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limesema halitaheshimu wala kufungamana na makubaliano ya usitishaji vita yaliyoafikiwa Jumatano baina ya viongozi wa DRC na Rwanda.
-
DRC na Rwanda zakubaliana kupunguza mivutano kwa sababu ya waasi wa M23
Jul 07, 2022 06:55Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC na Rwanda zimekubaliana kutekeleza "mchakato wa kupunguza mvutano" baina yao kufuatia mazungumzo ya siku moja yaliyofanywa na marais wa nchi hizo mbili kwa upatanishi wa rais wa Angola.
-
Marais wa Rwanda na DRC kufanya mazungumzo Luanda chini ya upatanishi wa rais wa Angola
Jul 05, 2022 22:01Serikali ya Angola imesema, marais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Rwanda wanakutana leo Jumatano kwa mazungumzo ya kutafuta suluhu baina yao yatakayofanyika katika mji mkuu wa nchi hiyo Luanda kwa upatanishi wa Rais Joao Lourenco.
-
Ijumaa tarehe Mosi Julai 2022
Jun 30, 2022 20:31Leo ni Ijumaa tarehe Mosi Dhulqaada 1443 Hijria sawa na tarehe Mosi Julai 2022.