-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran alaani kimya kuhusu jinai za Saudia nchini Yemen
Oct 21, 2016 10:15Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran amelaani kimya cha jamii ya kimataifa kuhusu kuendelea jinai za utawala wa Saudi Arabia nchini Yemen na katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Kadhim Siddiqi: Taifa la Iran lilisimama imara mbele ya uchokozi na dhulma ya madola makubwa
Sep 23, 2016 10:32Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran ameeleza kuwa kurejesha amani na uthabiti katika eneo la Mashariki ya Kati kunategemea kuwepo vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Ayatullah Khatami: Saudia ni chimbuko la magaidi wa Daesh (ISIS)
Sep 16, 2016 10:26Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran amesema jinai za kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh au ISIS zinatokana na fikra za kuwakufurisha Waislamu ambazo zinatawala Saudi Arabia.
-
Ayatullah Kermani: Wananchi wa Iran hawatasahau maafa ya Mina
Sep 02, 2016 11:13Khatibu wa Swala ya Ijumaa mjini Tehran amesema kuwa, watu wa Iran kamwe hawatasahau maafa ya vifo vya kuogofya ya Mina katika msimu wa Hija mwaka jana.
-
Ayatullah Khatami: Marekani na Saudia zinataka kulifufua kundi la kigaidi la MKO
Aug 19, 2016 12:05Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo hapa Tehran amesema kuliunga mkono kundi la kigaidi la Munafiqina ndio mpango mpya wa mabeberu na Uzayuni wa kimataifa dhidi ya taifa la Iran.
-
Ayatullah Kermani: Siasa mbovu za Saudia kuhusu Hija zimezijeruhi hisia za Waislamu ulimwenguni
Aug 05, 2016 09:00Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, siasa mbovu za serikali ya Saudi Arabia kuhusu ibada ya Hija zimezijeruhi hisia za Waislamu ulimwenguni na zimekuwa ni kwa madhara ya watawala wa Aal Saud.
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran alaani jinai za Aal Saud nchini Yemen
Jul 29, 2016 12:04Khatibu wa Swala ya Ijumaa katika mji wa Tehran amelaani jinai zinazofanywa na utawala wa Aal Saud huko Yemen na kusema kuwa vitendo vya utawala huo vinakinzana na sheria za kimataifa na za Kiislamu.
-
Ayatullah Kashani: Marekani, Saudia na Israel ni waungaji mkono wakubwa wa ugaidi
Jul 15, 2016 11:37Hatibu wa Swala ya Ijumaa hapa Tehran amesema kuwa Marekani, Saudi Arabia na utawala wa Kizayuni wa Israel ni waungaji mkono wakubwa wa ugaidi duniani.
-
Ayatullah Kashani awataka Waislamu kushikamana
Jun 17, 2016 09:52Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo hapa Tehran ameyatolea mwito mataifa yote ya Waislamu kushikamana na kuwa kitu kimoja mbele ya njama za ustikbari na Uzayuni wa kimataifa dhidi ya Dini Tukufu ya Uislamu.
-
Saudia inaunga mkono ugaidi na kuua watu wasio na hatia Yemen
Jun 10, 2016 09:33Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran amesema: Jinai za utawala wa Saudia dhidi ya watu wasio na hatia Yemen na uungaji mkono wake kwa ugaidi katika eneo ni mambo yanayofanyika kwa mashali ya madola ya kiistikbari na Uzayuni wa kimataifa.