-
HRW: Saudia inatumia mabomu ya vishada ya Marekani nchini Yemen
May 06, 2016 23:49Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limeikosoa Marekani kwa kuiuzia Saudi Arabia mabomu ya vishada yanayotumiwa na utawala huo wa kifalme dhidi ya raia wasio na hatia wa Yemen.
-
Wimbi la utakfiri katika ulimwengu wa Kiislamu sehemu ya 34
May 06, 2016 09:22Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni tena katika mfululizo wa vipindi hivi vinavyoangazia macho chimbuko la makundi yenye kuwakufurisha Waislamu wengine na kutekeleza jinai na mauaji ya kutisha dhidi yao hii leo ikiwa ni sehemu ya 34 ya vipindi hivyo.
-
Wanajeshi wa Marekani wavamia kusini mwa Yemen
May 02, 2016 23:27Ripoti zinasema kuwa, wanajeshi wa kikosi maalumu cha Marekani wamevamia eneo la Kusini mwa Yemen kwa kisingizio cha kuwasaidia wanajeshi wa Imarati katika kile kinachodaiwa ni vita dhidi ya wanamgambo wa al Qaeda katika eneo hilo.
-
Mtawala wa Misri El Sisi aendelea kukiuka haki za binadamu
Apr 28, 2016 03:19Rais Abdel Fatah el Sisi nchini Misri ameendelea kukiuka haki za binaadamu huku akikosolewa kitaifa na kimataifa kutokana na kuendelea kuzorota hali ya mambo nchini humo.
-
Israel inawapa mafunzo askari wa Saudia
Apr 26, 2016 09:52Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amefichua kuwa utawala haramu wa Israel unatoa mafunzo ya kijeshi kwa askari wa Saudi Arabia katika mpango wa siri wa uhusiano wa tawala hizo mbili.
-
Saudia yakiuka makubaliano ya kusitisha vita Yemen
Apr 23, 2016 03:21Raia wanne wa Yemen wameuawa shahidi akiwemo mtoto mchanga katika mashambulizi yaliyofanywa na vibaraka wa Saudi Arabia dhidi ya makazi na nyumba zao katika eneo la al Zahir kwenye mkoa wa Baidha. Hatua hiyo inatambuliwa kuwa ni ukiukwaji wa makubaliano ya kusitisha vita unaoendelea nchini Yemen.
-
Uganda: Saudia inawashikilia wanawake 12 raia wetu
Apr 21, 2016 10:53Bunge la Uganda limearifiwa kuwa wanawake 12 raia wa nchi hiyo wanashikiliwa chini ya mazingira magumu nchini Saudi Arabia.
-
Tofauti juu ya Yemen zashadidi baina ya wavamizi wa Saudia na Imarat
Apr 19, 2016 03:34Duru za habari zimeripoti kuibuka tofauti kubwa baina ya nchi mbili vamizi za Saudia na Imarat kuhusiana na kadhia ya Yemen.
-
Hali yaendelea kuwa tete Misri katika kupinga uamzi wa serikali na Saudia
Apr 15, 2016 23:43Wizara ya Mambo ya Ndani nchini Misri imetaka polisi kuchukua hatua za dharura kwa ajili ya kuzima kwa njia yoyote ile, maandamano ya wananchi wanaopinga hatua ya Rais Abdel Fattah el-Sisi kumpa visiwa viwili vya nchi hiyo Mfalme Salman wa Saudi Arabia.
-
Misri yawaonya wanaopinga Saudia kupewa visiwa
Apr 15, 2016 03:38Serikali ya Misri imesema itawachukulia hatua wanaopanga kushiriki katika maandamano ya leo Ijumaa kupinga hatua ya rais wa nchi hiyo kuipa Saudia visiwa viwili muhimu katika Bahari ya Sham.