-
Wayemen waushambulia tena uwanja wa ndege wa kimataifa wa Saudia; mara hii watumia droni tano
Jun 14, 2019 02:58Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abha wa kusini mwa Saudi Arabia umeshambuliwa tena na jeshi na kamati za kujitolea za wananchi wa Yemen.
-
Kituo cha kidini cha Mfalme Abdullah wa Saudi Arabia mjini Vienna kupigwa kufuli rasmi
Jun 13, 2019 02:03Bange la Austria limepitisha kwa wingi wa kura mpango wa kukipiga kufuli kituo cha kidini cha Mfalme Abdullah wa Saudia mjini Vienna.
-
Wasaudia wakiri uwanja wao wa ndege umeshambuliwa kwa kombora la Yemen
Jun 12, 2019 11:15Msemaji wa muungano vamizi wa Yemen amekiri leo kwamba jeshi na vikosi vya kujitolea vya wananchi wa Yemen wamejibu mashambulizi kwa kuupiga kwa kombora Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abha, mkoani Asir huko kusini magharibi mwa Saudi Arabia.
-
Qatar yasisitiza kuwa sera za Saudia ni haribifu katika eneo la Asia Magharibi
Jun 12, 2019 03:38Mohammed bin Abdulrahman bin Jassim Al Thani, Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar akiwa safarini nchini Uingereza amesema: "Saudi Arabia ni nguvu ya uharibifu katika eneo lote la Mashariki ya Kati (Asia Magharibi) na Afrika."
-
Amnesty International: Saudi arabia haipasi kumnyonga mfungwa wa kisiasa barobaro
Jun 09, 2019 03:05Shirika la Msamaha Dunianii (Amnesty International) limeitaka Saudi Arabia isimnyonge mfungwa wa kisiasa barobaro ambaye alitiwa mbaroni akiwa na miaka 13.
-
Iran yaionya Saudi Arabia kutokana na chokochoko zake dhidi ya Tehran
Jun 04, 2019 02:39Msaidizi maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) katika masuala ya kimataifa ameionya Saudi Arabia iache kushirikiana na Marekani katika chokochoko zake dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Vikao vya Makka; uchochezi ambao unaweka wazi kuchanganyikiwa Saudi Arabia
Jun 01, 2019 02:56Katika siku za Alhamisi na Ijumaa, Saudi Arabia iliandaa vikao vitatu katika mji mtakatifu wa Makka. Vikao hivyo vilikuwa vya kuhudumia ajinabi na maadui wa umma wa Kiislamu na wakati huo huo vimebainisha wazi kuchanganikiwa na kupoteza mwelekeo watawala wa nchi hiyo.
-
Madai ya uwongo na yasiyo na msingi wa Mfalme wa Saudi Arabia dhidi ya Iran
May 31, 2019 03:21Mfalme wa Saudi Arabia ameibua madai ya uwongo na yasiyo na msingi dhidi ya Iran na kuitaka jamii ya kimataifa kuchukua hatua za kukabiliana na kile alichokitaja kuwa vitisho vya Iran.
-
Juhudi za Saudi Arabia za kufunika na kupuuza malengo ya Palestia ni kosa la kistratijia
May 31, 2019 03:06Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kwamba juhudi zinazofanywa na utawala wa Saudi Arabia na baadhi ya nchi za Kiarabu za Asia Magharibi kwa ajili ya kufunika na kupuuza malengo matukufu ya taifa la Palestina ni kosa kubwa la kistratijia.
-
Wananchi wa Sudan walizuia ndege ya Saudia kupaa katika uwanja wa ndege wa Khartoum
May 29, 2019 23:55Wananchi wenye hasira kali walizuia ndege ya Saudi Arabia kupaa katika uwanja wa ndege wa Khartoum, mji mkuu wa nchi hiyo.