Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Madai ya uwongo na yasiyo na msingi wa Mfalme wa Saudi Arabia dhidi ya Iran

    Madai ya uwongo na yasiyo na msingi wa Mfalme wa Saudi Arabia dhidi ya Iran

    May 31, 2019 03:21

    Mfalme wa Saudi Arabia ameibua madai ya uwongo na yasiyo na msingi dhidi ya Iran na kuitaka jamii ya kimataifa kuchukua hatua za kukabiliana na kile alichokitaja kuwa vitisho vya Iran.

  • Juhudi za Saudi Arabia za kufunika na kupuuza malengo ya Palestia ni kosa la kistratijia

    Juhudi za Saudi Arabia za kufunika na kupuuza malengo ya Palestia ni kosa la kistratijia

    May 31, 2019 03:06

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kwamba juhudi zinazofanywa na utawala wa Saudi Arabia na baadhi ya nchi za Kiarabu za Asia Magharibi kwa ajili ya kufunika na kupuuza malengo matukufu ya taifa la Palestina ni kosa kubwa la kistratijia.

  • Wananchi wa Sudan walizuia ndege ya Saudia kupaa katika uwanja wa ndege wa Khartoum

    Wananchi wa Sudan walizuia ndege ya Saudia kupaa katika uwanja wa ndege wa Khartoum

    May 29, 2019 23:55

    Wananchi wenye hasira kali walizuia ndege ya Saudi Arabia kupaa katika uwanja wa ndege wa Khartoum, mji mkuu wa nchi hiyo.

  • Yemen: Tunao uwezo wa kukwamisha kazi za viwanja vya ndege vya Abu Dhabi na Riyadh

    Yemen: Tunao uwezo wa kukwamisha kazi za viwanja vya ndege vya Abu Dhabi na Riyadh

    May 25, 2019 21:59

    Mjumbe wa Baraza la Kisiasa la harakati ya Answarullah ya Yemen amesema kuwa, kurushwa hewani video inayoonesha kushambuliwa uwanja wa ndege wa Abu Dhabi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) ni ushahidi wa nguvu za kijeshi za kujihami wananchi wa Yemen kama ambavyo pia ni ushahidi kwamba Wayemen wanao uwezo wa kukwamisha kazi za viwanja vya ndege vya Riyadh na Abu Dhabi.

  • Meli ya Saudia yaondoka Italia bila ya kuwa na shehena ya silaha

    Meli ya Saudia yaondoka Italia bila ya kuwa na shehena ya silaha

    May 22, 2019 23:52

    Meli ya kibiashara ya Saudi Arabia ambayo wiki kadhaa zilizopita iliibua mjadala mkubwa, imeng’oa nanga katika bandari ya Italia bila ya kuwa na shehena yoyote ya silaha.

  • Mhubiri wa Kiwahhabi aliyesoma Saudia akamatwa Sri Lanka, ahusishwa na ugaidi

    Mhubiri wa Kiwahhabi aliyesoma Saudia akamatwa Sri Lanka, ahusishwa na ugaidi

    May 12, 2019 10:25

    Wakuu wa Sri Lanka wamemkamata mhubiri wa Kiwahhabi aliyesoma nchini Saudi Arabia baada ya kushukiwa kuwa na mfungamano na magaidi waliotekeleza hujuma za kigaidi zilizoua mamia ya watu nchini humo mwezi jana.

  • Kuongezeka mvutano kati ya Imarati na serikali iliyojiuzulu ya Yemen

    Kuongezeka mvutano kati ya Imarati na serikali iliyojiuzulu ya Yemen

    May 10, 2019 03:12

    Umoja wa Falme za Kiarabu, Imarati, ambayo iko katika muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia katika vita vyake vya kivamizi dhidi ya Yemen, imeingia katika mvutano mkubwa kati yake na serikali iliyojiuzulu ya Yemen ambayo hivi sasa ingali inadhibiti eneo la kusini mwa nchi hiyo.

  • Wanaharakati wa haki za binadamu wakusanyika mbele ya ubalozi wa Saudi Arabia Paris kulaani jinai za Aal Saud

    Wanaharakati wa haki za binadamu wakusanyika mbele ya ubalozi wa Saudi Arabia Paris kulaani jinai za Aal Saud

    May 03, 2019 22:22

    Kundi la wanaharakati wa msuala ya haki za binadamu limekusanyika tena mbele ya ubalozi wa Saudi Arabia mjini Paris Ufaransa na kulaani jinai ya hivi karibuni ya Aal Saud ya kuwanyonga raia 37 wa nchi hiyo.

  • Ndege za kivita za kigeni zimehusika katika mashambulio ya Tripoli

    Ndege za kivita za kigeni zimehusika katika mashambulio ya Tripoli

    Apr 29, 2019 01:51

    Waziri wa Mambo ya Ndani wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya amesema kuwa ndege za kigeni zilishiriki katika mashambulio ya hivi karibuni katika mji mkuu wa nchi hiyo Tripoli.

  • Jumapili, tarehe 28, 2019

    Jumapili, tarehe 28, 2019

    Apr 28, 2019 23:46

    Leo ni Jumapili tarehe 22 Sha'ban 1440 Hijiria, sawa na tarehe 28 Aprili 2019 Miladia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS