Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Saudi Arabia inatumia adhabu ya kifo kuangamiza upinzani

    Saudi Arabia inatumia adhabu ya kifo kuangamiza upinzani

    Apr 13, 2019 10:45

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amesty International linasema Saudi Arabia inatumia adhabu ya kifo kuwaangamiza wapinzani huku mrithi wa kiti cha ufalme Mohammad bin Salman akiendeleza ukandamizaji dhidi ya wahubiri wa Kiislamu, wanahabari na wasomi katika ufalme huo.

  • Yukiya Amano: Saudia ituwekee dhamana kuhusiana na miradi yake ya nyuklia

    Yukiya Amano: Saudia ituwekee dhamana kuhusiana na miradi yake ya nyuklia

    Apr 06, 2019 21:56

    Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) Yukiya Amano ameitaka Saudi Arabia kuweka dhamana za kiusalama kuhusiana na kinu chake cha kwanza cha nyuklia.

  • Safari ya Mflame Salman wa Saudia nchini Bahrain, kuendelea kuuhami utawala wa Aal Khalifa

    Safari ya Mflame Salman wa Saudia nchini Bahrain, kuendelea kuuhami utawala wa Aal Khalifa

    Apr 04, 2019 22:13

    Mfalme Salman Bin Abdulaziz wa Saudi Arabia ameitembelea Bahrain katika safari fupi na kufanya mazungumzo na mfalme wa nchi hiyo Hamad bin Isa Aal Khalifa.

  • Jeshi la Yemen laangamiza mamluki 90 wa Saudia vitani

    Jeshi la Yemen laangamiza mamluki 90 wa Saudia vitani

    Mar 29, 2019 11:24

    Jeshi la Yemen limetangaza kuwaangamiza mamluki 90 wa Saudi Arabia katika mji wa Sa'ada wakati wa kuzima hujuma kubwa ya Wasaudi dhidi ya mji huo wa kaskazini-magharibi mwa Yemen.

  • SIPRI: Saudia ndiyo nchi inayoongoza kwa ununuaji silaha duniani

    SIPRI: Saudia ndiyo nchi inayoongoza kwa ununuaji silaha duniani

    Mar 11, 2019 23:17

    Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stockholm (SIPRI) imetangaza kuwa, Saudi Arabia ndiyo nchi inayoongoza kwa ununuaji silaha duniani.

  • Zarif: Kinyume na Saudia, Iran haitaki mvutano na upande wowote

    Zarif: Kinyume na Saudia, Iran haitaki mvutano na upande wowote

    Mar 10, 2019 23:43

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran haitaki kuwa na mvutano na nchi yoyote ile ikiwemo Saudi Arabia.

  • Afghanistan yaulaumu utawala wa Aal Saud kwa kuwawekea kodi nzito wahajiri wa nchi hiyo

    Afghanistan yaulaumu utawala wa Aal Saud kwa kuwawekea kodi nzito wahajiri wa nchi hiyo

    Mar 09, 2019 01:09

    Imam wa swala ya Ijumaa mjini Kabul, mji mkuu wa Afghanistan ameukosoa vikali utawala wa Aal-Saud kutokana na hatua yake ya kuwawekea kodi nzito wahajiri wa Afghanistan waliokimbilia Saudia.

  • Amnesty International yaitaka Saudia iwaachie huru wanaharakati wa kike

    Amnesty International yaitaka Saudia iwaachie huru wanaharakati wa kike

    Mar 08, 2019 10:16

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeitisha maandamano mbele ya ubalozi wa Saudi Arabia mjini Paris huko Ufaransa kulalamikia hatua ya serikali ya Riyadh ya kuendelea kuwashikilia wanaharakati wa kike wa kutetea haki za binadamu.

  • Malengo ya safari ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia katika nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi

    Malengo ya safari ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia katika nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi

    Mar 05, 2019 10:45

    Sergei Lavrov, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia, Jumatatu ya tarehe 4 Machi alianza safari yake ya siku nne katika nchi nne za Qatar, Saudi Arabia, Kuwait na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati).

  • Kongresi yataka kuchunguzwa ripoti kwamba, Saudia inatumia watoto wa Sudan katika vita vya Yemen

    Kongresi yataka kuchunguzwa ripoti kwamba, Saudia inatumia watoto wa Sudan katika vita vya Yemen

    Mar 03, 2019 12:07

    Wabunge wa Kongresi ya Marekani wameanzisha mchakato wa kuitaka serikali ya nchi hiyo ianzishe uchunguzi kuhusu ripoti zinazosisitiza kuwa, Saudi Arabia na Imarati zinatumia watoto wa Sudan kama wapiganaji katika vita vya Yemen.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS