Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Nchi za Umoja wa Ulaya zajizuia kuiweka Saudia katika orodha ya utakatishaji wa fedha

    Nchi za Umoja wa Ulaya zajizuia kuiweka Saudia katika orodha ya utakatishaji wa fedha

    Mar 02, 2019 04:15

    Katika miaka ya hivi karibuni, Saudi Arabia imekuwa na nafasi muhimu katika uhalifu wa makundi ya magaidi wakufurishaji katika Mashariki ya Kati na maeneo mengine duniani, kwa kuwapa magaidi hao misaada ya kila upande.

  • Amnesty yaitaka Uingereza kusitisha uuzaji silaha kwa Saudia

    Amnesty yaitaka Uingereza kusitisha uuzaji silaha kwa Saudia

    Mar 02, 2019 02:58

    Shirika la kutetea Haki za Binadamu la Amnesty International limeitaka serikali ya Uingereza isitishe uuzaji wa silaha kwa Saudi Arabia na washirika wake katika vita vya Yemen.

  • UN yakosoa fichaficha ya Saudi Arabia kuhusu mauaji ya Khashoggi

    UN yakosoa fichaficha ya Saudi Arabia kuhusu mauaji ya Khashoggi

    Feb 28, 2019 23:46

    Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia visa vya kunyongwa watu kiholela na kinyume cha sheria amewatuhumu viongozi wa Saudi Arabia kuwa wanakwamisha uchunguzi wa faili la kesi ya mauaji ya mwandishi habari mkosoaji wa utawala huo, Jamal Khashoggi.

  • Kamanda wa jeshi la Saudia auzuliwa kufuatia vipigo mtawalia vya wapiganaji wa Yemen

    Kamanda wa jeshi la Saudia auzuliwa kufuatia vipigo mtawalia vya wapiganaji wa Yemen

    Feb 18, 2019 03:43

    Utawala wa Aal Saud umemuuzulu kamanda wa Brigedi ya Mfalme Abdul Aziz ya jeshi la nchi hiyo kufuatia vipigo mtawalia na kushindwa vibaya jeshi hilo katika mapambano na jeshi na vikosi vya kujitolea vya wananchi wa Yemen.

  • Erdogan aapa kufuatilia mauaji ya Khashoggi katika mahakama ya kimataifa

    Erdogan aapa kufuatilia mauaji ya Khashoggi katika mahakama ya kimataifa

    Feb 16, 2019 04:29

    Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema nchi yake iko mbioni kupeleka kesi ya mauaji ya mwanahabari mpinzani wa utawala wa Saudia Jammal Khasoggi katika mahakama ya kimataifa.

  • Saudi Arabia yawekwa katika orodha ya nchi zinazojihusisha na utakatishaji fedha

    Saudi Arabia yawekwa katika orodha ya nchi zinazojihusisha na utakatishaji fedha

    Feb 13, 2019 11:18

    Umoja wa Ulaya umeiweka nchi ya Saudi Arabia katika orodha nyeusi ya umoja huo ya nchi zinazojihusisha na vitendo vya utakatishaji fedha.

  • Kampeni ya kutaka kuachiwa huru wanaharakati wanawake wanaoshikiliwa jela Saudia yashika kasi

    Kampeni ya kutaka kuachiwa huru wanaharakati wanawake wanaoshikiliwa jela Saudia yashika kasi

    Feb 09, 2019 12:10

    Vyombo mbalimbali vya habari yakiwemo magazeti ya New York Times, Washington Post, The Guardian, El País na Los Angeles Times vimeanzisha kampeni kubwa ya kuushinikiza utawala wa kifalme wa Aal-Saud uwaachilie huru wanaharakati wa kike wa haki za binadamu wanaoshikiliwa katika jela za Saudi Arabia.

  • Wabunge wa Uingereza: Viongozi wa Saudia ndio wahusika wakuu wa utesaji wa wanawake katika jela

    Wabunge wa Uingereza: Viongozi wa Saudia ndio wahusika wakuu wa utesaji wa wanawake katika jela

    Feb 05, 2019 00:14

    Wawakilishi watatu katika bunge la Uingereza wamesema kuwa, viongozi wa ngazi ya juu wa Saudi Arabia ndio wahusika wakuu wa utesaji dhidi ya wanaharakati wa kike wanaoshikiliwa katika jela za nchi hiyo.

  • Saudia yalazimika kusitisha hukumu ya kifo dhidi ya mwanaharakati wa masuala ya kiraia

    Saudia yalazimika kusitisha hukumu ya kifo dhidi ya mwanaharakati wa masuala ya kiraia

    Feb 02, 2019 04:32

    Kufuatia kushtadi mashinikizo ya Mashirika ya Haki za Binaadamu, utawala wa Aal-Saud umelazimika kusitisha hukumu ya kunyongwa Bi. Israa al-Ghomgham, mwanamke anayejihusisha na harakati za kiraia wa mji wa Qatif, mashariki mwa Saudia.

  • Makabiliano ya Saudia na Qatar nchini Sudan

    Makabiliano ya Saudia na Qatar nchini Sudan

    Jan 27, 2019 08:22

    Baada ya safari ya siku mbili ya Rais Omar al-Bashir wa Sudan mjini Doha, Qatar Mfalme wa Saudia pia alituma ujumbe huko Sudan ulioongozwa na mmoja wa mawaziri wake kwa ajili ya kukutana na al-Bashir.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS