Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Iran yatoa wito wa mazungumzo baina ya Wayemen ili kuvunja njama za adui

    Iran yatoa wito wa mazungumzo baina ya Wayemen ili kuvunja njama za adui

    Dec 04, 2017 03:30

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema mazungumzo ni njia bora zaidi kwa makundi mbali mbali ya Yemen kutatua migogoro yao na kuzuia maadui wa kigeni kutumia vibaya mgogoro uliopo nchini humo.

  • Kombora jengine la balisitiki la Yemen latua ndani ya ardhi ya Saudia

    Kombora jengine la balisitiki la Yemen latua ndani ya ardhi ya Saudia

    Dec 01, 2017 01:11

    Jeshi la Yemen kwa ushirikiano na wapiganaji wa harakati ya Ansarullah limefyatua kombora jengine la balisitiki la masafa ya kati na kulenga eneo la kijeshi ndani ya ardhi ya Saudia, likiwa ni kombora la pili kufyatuliwa na jeshi hilo ndani ya mwezi huu.

  • Zarif: Iran iko Syria kwa

    Zarif: Iran iko Syria kwa "ombi rasmi" la serikali ya Damascus

    Dec 01, 2017 01:10

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwepo Iran nchini Syria kumetokana na ombi rasmi la serikali ya nchi hiyo.

  • Qassemi: Taarifa ya White House inathibitisha ushiriki wa Marekani katika jinai za Saudia

    Qassemi: Taarifa ya White House inathibitisha ushiriki wa Marekani katika jinai za Saudia

    Nov 26, 2017 04:05

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Rais wa Marekani (White House) inathibitisha waziwazi kwamba Marekani inashirika katika jinai zinazofanywa na Saudi Arabia huko Yemen.

  • Foreign Policy: White House inapotosha fikra za walimwengu kuhusu jinai za Saudia huko Yemen

    Foreign Policy: White House inapotosha fikra za walimwengu kuhusu jinai za Saudia huko Yemen

    Nov 23, 2017 10:56

    Jarida la Foreign Policy linalochapishwa nchini Marekani limeandika kuwa Ikulu ya Rais wa nchi hiyo, White House inafanya jitihada za kutengeneza mazingira na propaganda mpya dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kuzipotosha fikra za walimwengu kuhusu jinai zinazofanywa na Saudi Arabia huko Yemen.

  • Saudia inatumia mamluki wa Marekani kuwatesa wanawafalme wanaozuiliwa

    Saudia inatumia mamluki wa Marekani kuwatesa wanawafalme wanaozuiliwa

    Nov 23, 2017 10:54

    Inaarifiwa kuwa, utawala wa Riyadh umekuwa ukiwatumia mamluki waliowakodisha kutoka Marekani katika kuwatesa na kuwakandamiza wanawafalme na wajasiriamali mabilionea wa Saudi Arabia waliokamatwa hivi karibuni katika kile kilichotajwa kuwa wimbi la vita dhidi ya ufisadi.

  • Mgogoro baina ya Qatar na nchi za Kiarabu umezidi kupamba moto

    Mgogoro baina ya Qatar na nchi za Kiarabu umezidi kupamba moto

    Nov 23, 2017 03:49

    Kwa mara nyingine tena nchi za Saudia, Imarati, Misri na Bahrain zimetoa tuhuma kali dhidi ya Qatar kwa kudai kuwa inaunga mkono ugaidi. Jana usiku nchi hizo ziliongeza katika orodha yao ya makundi ya kigaidi taasisi mbili na watu 11 ambao zinadai wanafanya ugaidi kwa uungaji mkono wa Qatar.

  • Hariri arejea Lebanon, ombi lake la kujiuzulu lasimamishwa, akutana na Rais Aoun

    Hariri arejea Lebanon, ombi lake la kujiuzulu lasimamishwa, akutana na Rais Aoun

    Nov 22, 2017 23:56

    Saad Hariri, Waziri Mkuu wa Lebanon amesimamisha kwa muda ombi lake la kutaka kujiuzulu wadhifa wake huo baada ya kukutana na kufanya mazungumzo na Rais Michel Aoun mjini Beirut.

  • Qatar: Saudia inafanya ukandamizaji ndani ya nchi na uchochezi nje ya nchi

    Qatar: Saudia inafanya ukandamizaji ndani ya nchi na uchochezi nje ya nchi

    Nov 21, 2017 10:06

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amekosoa vikali sera ya utawala wa Aal-Saud ya kuwakandamiza wananchi wa Saudi Arabia na wakati huo huo kuzichochea nchi nyingine.

  • Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran: Saudi Arabia ni mhimili wa shari katika eneo

    Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran: Saudi Arabia ni mhimili wa shari katika eneo

    Nov 20, 2017 11:02

    Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran ameitaja Saudi Arabia kuwa mhimili wa Shari na kusisitiza juu ya ulazima wa kusimama kidete mbele ya njama mbovu na za kifisadi za Marekani na waitifaki wake katika eneo hili la Mashariki ya Kati kwa kuwepo umoja na kushikamana zaidi watu wa eneo hili.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS