-
Mamilioni Yemen yamkini wakafariki kutokana na mzingiro uliowekwa na Saudia
Nov 20, 2017 10:55Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula Dunaini, WFP, limeonya kuwa mamilioni ya watu wa Yemen wanakabiliwa na hatari ya mauti kufuatia mzingiro uliowekwa na Saudi Arabia dhidi ya nchi hiyo na hivyo kuzuia misaada kuwafikia wanaohitajia.
-
Zarif: Ni maskhara kuona Saudi Arabia ikiituhumu Iran kuwa inasababisha machafuko
Nov 19, 2017 23:19Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa ni maskhara kwa Saudia Arabia kuituhumu Iran kuwa inasababisha machafuko katika hali ambayo nchi hiyo ndiyo inayowachochea magaidi na iliyoanzisha vita huko Yemen.
-
Tume ya Kimataifa yapinga madai ya Saudia kuhusu mzingiro wa Yemen
Nov 19, 2017 23:18Tume ya kimataifa iliyoundwa na Umoja wa Mataifa imefichua kwamba Saudi Arabia inazuia kwa makusudi misaada ya kibinadamu inayotumwa kwa watu wanaozongwa na maradhi na njaa huko Yemen na kutangaza kuwa, tume hiyo haikubali sababu zilizotolewa na utawala wa Riyadh za kuendelea kuizingira nchi hiyo.
-
Qatar: Uhusiano wetu na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni wa "kipekee"
Nov 19, 2017 00:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar ameutaja uhusiano uliopo kati ya nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa wa "kipekee".
-
Iran: Sumu hatari ya Uwahabi na Utakfiri ilizaliwa Saudi Arabia
Nov 18, 2017 04:22Mshauri na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema Saudi Arabia ndio chimbuko na sehemu ilikozaliwa idiolojia hatari ya Utakfiri inayotumiwa na magenge ya kigaidi kama vile Daesh (ISIS).
-
Qatar: Saudia inayakandamiza 'mataifa madogo' kwa lengo la kuyapigisha magoti
Nov 18, 2017 04:05Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amesema utawala wa Saudi Arabia unachochea migogoro na mivutano katika eneo la Mashariki ya Kati sambamba na kuzikandamiza na kuzinyanyasa nchi ndogo katika eneo ili kuzishinikiza zipige magoti mbele yake.
-
Zarif: Saudia inachukua hatua za kijinga na kihasama
Nov 17, 2017 23:33Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Wasaudia wanapuuza uhakika na hali halisi ya kihistoria na kuchukua hatua za kihasama na kijinga ambazo zinaendelea kuwasababishia madhara wao wenyewe.
-
Kashani: Umoja wa Walebanon umebatilisha njama za Saudia
Nov 17, 2017 13:17Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema kuwa umoja na mshikamano wa taifa la Lebanon umebatilisha na kuzima njama za utawala wa Kizayuni wa Israel, Marekani na Saudi Arabia.
-
Duru mpya ya mazungumzo ya amani ya Burundi kuanza Novemba 27
Nov 17, 2017 03:41Duru mpya ya mazungumzo kuhusu mgogoro wa kisiasa wa Burundi inatazamiwa kuanza tena Novemba 27 hadi Disemba 8, mwaka huu.
-
Vyombo vya habari vya Magharibi vyanyamazia kimya jinai za Saudia dhidi ya Wayemen
Nov 16, 2017 01:06Wabunge nchini Iran wamelaani vikali mauaji yanayotekelezwa na Saudi Arabia dhidi ya raia wa Yemen huku wakisema jinai hizo zimenyamaziwa kimya na vyombo vya habari vya magharibi.