Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Ndege za kivita za Saudia zashambulia uwanja wa ndege wa Sana'a, Yemen

    Ndege za kivita za Saudia zashambulia uwanja wa ndege wa Sana'a, Yemen

    Nov 15, 2017 03:45

    Ndege za kijeshi za Saudi Arabia zimetekeleza mashambulizi ya anga dhidi ya uwanja wa ndege ulioko katika mji mkuu wa Yemen, Sana'a, na kufanya hali ya mambo katika nchi hiyo kuwa mbaya zaidi.

  • Afisa wa zamani wa CIA: Saudia na Israel zinataka kuiburuza Marekani kwenye vita dhidi ya Iran

    Afisa wa zamani wa CIA: Saudia na Israel zinataka kuiburuza Marekani kwenye vita dhidi ya Iran

    Nov 14, 2017 13:18

    Mtaalamu wa zamani wa kitengo cha kupambana na ugaidi aliyekuwa pia afisa wa intelijinsia ya kijeshi wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) amesema utawala wa Kizayuni wa Israel na Saudi Arabia hazina uwezo wa kuishinda kijeshi Iran hivyo zinajaribu kuiburuza Marekani kwenye vita dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.

  • Bin Salman amshinikiza Abbas akubali mpango wa Trump wa mapatano na Israel

    Bin Salman amshinikiza Abbas akubali mpango wa Trump wa mapatano na Israel

    Nov 14, 2017 12:22

    Gazeti la Times la Uingereza limefichua kuwa, katika jitihada mpya za kutaka kubadili ramani ya kisiasa ya Mashariki ya Kati kwa maslahi ya Marekani na Israel, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia, Muhammad bin Salman anamshinikiza Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, Mahmoud Abbas ili akubaliane na mpango mpya wa eti amani ya Mashariki ya Kati uliobuniwa na timu ya Rais Donald Trump wa Marekani.

  • Zarif amwandikia barua Katibu Mkuu wa UN; Hali ya Yemen ni mbaya sana

    Zarif amwandikia barua Katibu Mkuu wa UN; Hali ya Yemen ni mbaya sana

    Nov 14, 2017 03:59

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana usiku alimuandikia barua Antonio Guterres Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa akisema kuwa hali ya mambo nchini Yemen ni mbaya sana na inatia wasiwasi mkubwa; hiyo ikiwa ni natija ya uvamizi wa kijeshi na kuzingirwa pande zote nchi hiyo na utawala wa kidikteta wa Saudi Arabia.

  • EU yamtaka Hariri arejee Lebanon, yaionya Saudia dhidi ya uingiliaji wa masuala ya nchi hiyo

    EU yamtaka Hariri arejee Lebanon, yaionya Saudia dhidi ya uingiliaji wa masuala ya nchi hiyo

    Nov 14, 2017 03:46

    Umoja wa Ulaya umemtaka Waziri Mkuu wa Lebanon aliyetangaza kujiuzulu hivi karibuni, Saad Hariri arejee katika nchi yake huku ukiitahadharisha Saudi Arabia dhidi ya kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo.

  • Saudia yaichochea Israel iihujumu Lebanon, Hizbullah yasema iko tayari kijeshi

    Saudia yaichochea Israel iihujumu Lebanon, Hizbullah yasema iko tayari kijeshi

    Nov 13, 2017 23:34

    Afisa wa ngazi za juu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, harakati hiyo iko tayari kwa ajili ya makabiliano yoyote ya kijeshi huku kukiwa na tetesi kuwa Saudi Arabia inauchochea utawala wa Kizayuni wa Israel uishambulie Lebanon kijeshi.

  • Iran yasisitiza haingilii mambo ya ndani ya nchi nyingine

    Iran yasisitiza haingilii mambo ya ndani ya nchi nyingine

    Nov 13, 2017 12:04

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: "Sera ya kimsingi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kutoingilia kamwe masuala ya ndani ya nchi nyingine."

  • Rais wa Lebanon: Matamshi ya Saad Hariri hayana itibari

    Rais wa Lebanon: Matamshi ya Saad Hariri hayana itibari

    Nov 13, 2017 04:48

    Rais Michel Aoun wa Lebanon amesema: Saad Hariri, tangu siku ya Jumamosi hadi sasa yuko nchini Saudi Arabia katika mazingira tata na yasiyoeleweka; na misimamo yake ni misimamo ya kutia shaka na kutatanisha.

  • Hariri ajidhalilisha Saudia, apanga foleni kumpa mkono Mfalme Salman

    Hariri ajidhalilisha Saudia, apanga foleni kumpa mkono Mfalme Salman

    Nov 12, 2017 10:18

    Kanda ya video iliyorushwa hewani na televisheni ya utawala wa Aal-Saud imemuonyesha Waziri Mkuu wa Lebanon aliyetangaza kujiuzulu hivi karibuni akijidhalilisha kwa kupanga foleni na maafisa wa serikali ya Riyadh kwa ajili ya kumpa mkono Mfalme Salman Bin AbdulAzizi wa Saudi Arabia.

  • Tunisia yaikosoa Saudia kwa hatua zake za kuzusha migogoro katika nchi nyingine

    Tunisia yaikosoa Saudia kwa hatua zake za kuzusha migogoro katika nchi nyingine

    Nov 12, 2017 04:19

    Waziri Mkuu wa Tunisia ametoa radiamali yake kutokana na hatua ya kuibua migogoro ya Saudia katika nchi nyingine hususan Lebanon na kuonyesha matarajio kwamba mzozo huo hautapelekea kutokea vita kati ya nchi mbili.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS