-
Rais wa Uturuki akosoa kauli ya Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi kuhusu Uislamu
Nov 12, 2017 04:08Katika msururu wa kurushiana maneneo viongozi wa Saudi Arabia na Uturuki, Rais Reccep Tayyip Erdogan wa Uturuki amekosoa vikali matamshi ya Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudia Mohammad Bin Salman kuhusu kile alichodai kuwa ni "Uislamu wa misimamo ya wastani."
-
Maafisa wa ngazi za juu wa Saudi Arabia na Israel wakutana Marekani
Nov 12, 2017 01:16Tzipi Livni Waziri wa zamani wa mambo ya nje wa utawala wa Kizayuni wa Israel amekutana na Turki al Faisal, mkuu wa zamani wa shirika la kijasusi la Saudi Arabia.
-
Iran: Saudia ni dhihirisho la ugaidi na kuingilia masuala ya ndani ya nchi nyingine
Nov 12, 2017 01:03Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, Saudia ndio dhihirisho la misimamo ya kufurutu ada na ugaidi na kuingilia masuala ya ndani ya nchi nyingine, lakini inazituhumu nchi nyiengine kuwa zinaunga mkono ugaidi.
-
Yemen: Madai ya Marekani kuwa Iran imehusika katika shambulizi la Riyadh ni kichekesho
Nov 11, 2017 12:18Wizara ya Mambo ya Nje ya Yemen imekadhibisha madai ya Marekani kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilihusika katika shambulizi la kombora la Burkan 2 kutoka Yemen kwenda Riyadh na imeyataja madai hayo kuwa ni kichekesho.
-
Hitilafu za kimitazamo kati ya Trump na Tillerson kuhusu matukio ya Saudia
Nov 11, 2017 08:22Matukio yanayojiri nchini Saudi Arabia kwa mara nyingine tena yameweka wazi hitilafu zilizopo kati ya Rais wa Marekani na Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya nchi hiyo.
-
UNICEF: Mzingiro wa Saudia utaua maelfu ya watoto Wayemen wenye njaa
Nov 10, 2017 11:38Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuwahudumia Watoto UNICEF limeonya kuhusu madhara makubwa ya mzingiro wa Saudi Arabia dhidi ya Yemen na kusema idadi kubwa ya watoto Wayemen wanaweza kupoteza maisha kwani tayari wanakabiliwa na lishe duni.
-
Siri yafichuka, Saudia na Israel zinataka kuanzisha vita Mashariki ya Kati
Nov 10, 2017 11:33Imebainika kuwa, utawala wa Aal-Saud wa Saudi Arabia na utawala wa Kizayuni wa Israel zinapanga njama ya kuanzisha vita katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia aingilia masuala ya ndani ya Lebanon
Nov 10, 2017 04:48Ikiwa imepita karibu wiki moja baada ya Saad Hariri kujiuzulu nafasi ya Waziri Mkuu wa Lebanon, Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia ameibuka na kudai kuwa Riyadh haitoruhusu Lebanon iwe chanzo cha kusumbuliwa Saudi Arabia.
-
UN: Yemen inakabiliwa na baa kubwa zaidi la njaa duniani
Nov 09, 2017 23:46Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameeleza wasiwasi wake kuhusu hatua ya Saudi Arabia na washirika wake ya kufunga kabisa mipaka ya Yemen kwa siku ya tano mfululizo na kusisitiza kuwa Yemen inakabiliwa na baa kubwa zaidi la njaa duniani katika miongo ya hivi karibuni.
-
Wanawafalme waendelea kukamatwa Saudia, mgogoro watokota, masoko ya hisa yaporomoka
Nov 09, 2017 00:31Wimbi jipya la kuwakamata wanawafalme limeripotiwa nchini Saudi Arabia ambapo wanawafalme wanaofungamana na Mohammad bin Nayef, mritihi wa kitu cha ufalme aliyeuzuliwa nao wametiwa mbaroni huku mgogoro mkubwa ukitokota katika ukoo wa Aal Saud.