-
Barua ya Iran kwa UN ikisisitizia udharura wa Saudia kuzuiwa katika jinai zake
Nov 09, 2017 00:20Mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amemwandikia barua Katibu Mkuu na Rais wa Baraza la Usalama la umoja huo akiitaka Jamii ya Kimataifa iishinikize Saudi Arabia iheshimu sheria za kimataifa na kuacha kutoa vitisho vya kutumia mabavu dhidi ya nchi nyengine.
-
Mwanamfalme: Haki za binadamu zinakanyagwa sana Saudia
Nov 08, 2017 11:53Khalid bin Farhan Al Saud, Mwanamfalme ambaye amejitenga na utawala wa Aal-Saud, amesema kuwa kabla ya kuomba hifadhi ya kisiasa nchini Ujerumani, kwa muda mrefu alikuwa akiishi kwa wasiwasi na mashaka mengi nchini Saudia.
-
Israel: Helikopta iliyoua mwanamfalme ilishambuliwa na ndege za kivita za Saudia
Nov 07, 2017 23:24Vyombo vya habari vya utawala haramu wa Kizayuni vimefichua kuwa, ndege za kivita za Saudi Arabia ndizo zilizohusika katika kuanguka helikopta iliyokuwa imembeba mwanamfalme wa ngazi ya juu wa nchi hiyo.
-
Israel yazitaka balozi zake kushirikiana zaidi na Saudia dhidi ya Hizbullah
Nov 07, 2017 11:06Utawala haramu wa Kizayuni na katika kulinda maslahi ya Saudi Arabia duniani dhidi ya haraki ya Kiislamu ya Hizbullah ya nchini Lebanon, imetoa ujumbe kwa balozi zake kuhusiana na suala hilo.
-
Rais wa Lebanon akataa ombi la kujiuzulu Hariri, amtaka arejee nchini
Nov 05, 2017 23:15Rais Michel Aoun wa Lebanon amesema atakubali ombi la Waziri Mkuu wa nchi hiyo Saad Hariri la kujiuzulu kwa sharti kiongozi huyo aliyeko Saudi Arabia kwa sasa arejee nchini na atoe ufafanuzi wa kina.
-
Kombora la balistiki la Yemen laulenga uwanja wa ndege wa Mfalme Khalid mjini Riyadh, Saudia
Nov 05, 2017 04:37Kikosi cha makombora cha jeshi la Yemen na vikosi vya kujitolea vya wananchi jana usiku kilifyatua kombora la balistiki la masafa marefu aina ya Borkan H2 na kuulenga uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mfalme Khalid ulioko kwenye mji mkuu wa Saudi Arabia, Riyadh.
-
Makumi ya Wanamfalme, mawaziri wa zamani na wa sasa wa Saudia wawekwa kizuizini
Nov 05, 2017 04:36Utawala wa kifalme wa Saudi Arabia umewatia nguvuni na kuwaweka kizuizini makumi ya Wanamfalme na mawaziri wa zamani na wa sasa wa utawala huo kwa kisingizio cha kupambana na ufisadi.
-
Ndege za kivita za Saudia zaendelea kuua raia nchini Yemen
Nov 03, 2017 23:11Raia wasipungua saba Wayemen wamepoteza maisha yao baada ya ndege za kivita za Saudi Arabia kuvurumisha mabomu katika mkoa wa Sa'ada kaskazini mashariki mwa nchi hiyo siku chache tu baada ya jinai sawa na hiyo.
-
Aalimu wa Kisuni: Njama chafu za Saudia na Israel dhidi ya Hizbullah zimegonga mwamba
Nov 03, 2017 01:11Katibu Mkuu wa Umoja wa Kimataifa wa Maulama wa Muqawama amesema kuwa, njama chafu na mipango ya utawala wa Aal-Saud kwa kushirikiana na Israel na washirika wake wa Magharibi ya kujaribu kuihusisha na ugaidi Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon, imegonga mwamba na kufeli.
-
Hizbullah ya Iraq: Baada ya Daesh kushindwa, Marekani na Israel zinapanga njama mpya
Nov 02, 2017 13:50Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu 'Kataib Hizbullah' nchini Iraq sambamba na kutangaza kuwa, genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh lilikuwa na mpango wa uharibifu kupitia ajenda za Marekani, Israel na fedha za baadhi ya nchi za Kiarabu, imesema kuwa baada ya kumalizika vita dhidi ya kundi hilo Iraq inatakiwa kujiweka tayari kwa ajili ya njama mpya za Washington na washirika wake.