Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Hali ya kibinadamu Yemen inashtua, Saudia yaendeleza hujuma

    Hali ya kibinadamu Yemen inashtua, Saudia yaendeleza hujuma

    Oct 28, 2017 12:02

    Mkuu wa misaada ya kibinadamu katika Umoja wa Mataifa amesema hali ya kibinadamu nchini Yemen ni ya kushtua huku Saudi Arabia ikiendeleza hujuma dhidi ya nchi hiyo.

  • Ansarullah ya Yemen: Saudi Arabia ipo katika kambi ya utawala haramu wa Israel

    Ansarullah ya Yemen: Saudi Arabia ipo katika kambi ya utawala haramu wa Israel

    Oct 27, 2017 12:00

    Muhammad Abdul-Salaam, Msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, Saudi Arabia inataka kuiweka madarakani nchini Yemen serikali kibaraka.

  • Saudia yakasirishwa na ripoti ya UN kwamba inakiuka haki za binaadamu

    Saudia yakasirishwa na ripoti ya UN kwamba inakiuka haki za binaadamu

    Oct 24, 2017 10:16

    Saudia imekasirishwa sana na ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa kwamba imehusika na jinai za kivita dhidi ya watoto wadogo nchini Yemen.

  • Tillerson: Nchi zinazoizingira Qatar ndio wahusika wa kuendelea mgogoro na nchi hiyo

    Tillerson: Nchi zinazoizingira Qatar ndio wahusika wa kuendelea mgogoro na nchi hiyo

    Oct 20, 2017 01:05

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Rex W. Tillerson amekiri wazi kwamba nchi zinazoshiriki katika kuizingira na kuiwekea vikwazo Qatar, ndio wahusika wa kuendelea mgogoro wa taifa hilo dogo la Kiarabu.

  • ADHRB: Saudia, Bahrain na Kuwait zinaongoza kwa kunyonga wapinzani

    ADHRB: Saudia, Bahrain na Kuwait zinaongoza kwa kunyonga wapinzani

    Oct 14, 2017 04:38

    Jumuiya ya Demokrasia na Haki za Binadamu ya Bahrain (ADHRB) imetangaza kuwa, hukumu za vifo dhidi ya wapinzani zimeongezeka sana katika nchi tatu za Saudi Arabia, Bahrain na Kuwait.

  • Amnesty yailaani UN kwa kujaribu kudunisha jinai za Saudia nchini Yemen

    Amnesty yailaani UN kwa kujaribu kudunisha jinai za Saudia nchini Yemen

    Oct 07, 2017 23:11

    Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Amnesty International limeulaani Umoja wa Mataifa kwa kujaribu kudunisha jinai za muungano wa Saudi Arabia dhidi ya watoto wa Yemen katika vita dhidi ya nchi hiyo masikini ya Kiarabu.

  • Marekani yaiuzia Saudia mfumo wa kujilinda na makombora wa THAAD

    Marekani yaiuzia Saudia mfumo wa kujilinda na makombora wa THAAD

    Oct 07, 2017 04:12

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imethibitisha habari kwamba Washington imeiuzia Saudi Arabia mfumo wa THAAD wa kujilinda na mashambulizi ya makombora.

  • Jumuiya za kutetea haki za binadamu zaipongeza UN kwa kuiweka Saudia katika orodha nyeusi

    Jumuiya za kutetea haki za binadamu zaipongeza UN kwa kuiweka Saudia katika orodha nyeusi

    Oct 06, 2017 00:06

    Jumuiya za kimataifa za kutetea haki za binadamu zimepongeza hatua ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres ya kuiweka Saudi Arabia na washirika wake katika orodha nyeusi ya nchi na jumuiya zinazokiuka haki za watoto katika maeneo yenye vita.

  • Saudia yawekwa tena katika orodha nyeusi ya UN kwa kuua watoto Yemen

    Saudia yawekwa tena katika orodha nyeusi ya UN kwa kuua watoto Yemen

    Oct 04, 2017 04:24

    Jina la Saudi Arabia limeonekana katika rasimu ya siri ya orodha nyeusi ya Umoja wa Mataifa kutokana na mauaji na mateso yanayofanywa na Riyadh dhidi ya watoto wa Yemen.

  • Wanajeshi vamizi wa Sudan wapata pigo, mamia wauawa nchini Yemen + Picha

    Wanajeshi vamizi wa Sudan wapata pigo, mamia wauawa nchini Yemen + Picha

    Oct 01, 2017 00:29

    Toleo la mtandaoni la gazeti la al Akhbar la nchini Lebanon limetangaza habari ya kushindwa vibaya wanajeshi vamizi wa Sudan nchini Yemen. Kwa upande wake, mtandao wa habari wa Yemen Press umeandika kuwa, zaidi ya wanajeshi 400 wa Sudan wameshauawa hadi hivi sasa huko Yemen.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS