-
Mamia ya mamluki wa Saudia raia wa Sudan wauawa Yemen
Sep 28, 2017 10:47Mkuu wa Kikosi cha Sudan kinachoshirikiana na muungano wa Saudi Arabia dhidi ya Yemen amesema mamia ya mamluki wa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika wameuawa katika uvamizi wa muungano huo dhidi ya nchi hiyo maskini ya Kiarabu.
-
Baada ya marufuku ya miaka 60 hatimaye wanawake Saudia waruhusiwa kuendesha magari
Sep 27, 2017 01:19Baada ya malalamiko ya muda mrefu hatimaye Mfalme Salman bin Abdulaziz Al Saud wa Saudia ametoa amri ya kuwapa leseni za kuendesha magari wanawake wa nchi hiyo.
-
Somalia yakerwa na hatua ya Galmudug kukata uhusiano na Qatar
Sep 22, 2017 04:27Serikali kuu ya Somalia imekosoa vikali hatua ya eneo lenye mamlaka ya ndani la Galmudug kutangaza kuwa linaziunga mkono Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu katika mgogoro wa nchi za Kiarabu.
-
Saudia na Uingereza zasaini mkataba wa kijeshi huku Riyadh ikiendelea kuteketeza roho za Wayemeni
Sep 20, 2017 02:59Saudi Arabia na Uingereza zimesaini mkataba wa ushirikiano wa kijeshi na kiusalama.
-
Njama mpya za Saudi Arabia dhidi ya Qatar
Sep 19, 2017 01:39Mwanamfalme, Abdullah bin Ali Aal Thani kutoka familia ya kifalme ya Qatar amekosoa siasa za Amir wa nchi hiyo, Sheikh Tamim bin Hamad Aal Thani na kumtaka aitishie kikao cha kitaifa cha kujadili mgogoro wa nchi hiyo.
-
Utawala wa Aal-Saud wapatwa na kiwewe cha upinzani, wafunga misikiti hadi mjini Riyadh
Sep 15, 2017 09:46Askari wa utawala wa Aal-Saud nchini Saudi Arabia wamevamia misikiti ya miji mbalimbali kuanzia, Qatif, Ta'if, Unaizah na Riyadh na kuifunga, kutokana na wasi wasi wake wa kuibuka maandamano ya raia kupinga mienendo ya utawala huo.
-
Harakati ya "Septemba 15" yatoa wito wa kufanyika maandamano makubwa Saudia
Sep 13, 2017 23:25Harakati ya Septemba 15 inayoendesha harakati za amani za upinzani nchini Saudi Arabia imetoa wito kwa wapinzano wote wa utawala wa kifalme wa nchi hiyo kushiriki kwenye maandamano ya kupigania matakwa ya wananchi.
-
Hizbullah: Saudia imekiri yenyewe kwamba imeshindwa nchini Syria
Sep 11, 2017 03:52Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sheikh Naim Qassim amesema kuwa, hatua ya Wizara ya Mambo ya Nje ya SaudiArabia ya kukubali kuanzishwa maeneo ya kupunguza mivutano nchini Syria, ina maana ya kukiri wazi Riyadh juu ya kushindwa kwake nchini Syria.
-
New York Times: Mgogoro wa Qatar umemshinda Trump
Sep 10, 2017 10:04Gazeti la New York Times la nchini Marekani limesema kuwa, rais wa nchi hiyo, Donald Trump ameshindwa kutatua mgogoro wa Qatar na nchi nne za Kiarabu zinazoongozwa na Saudia.
-
Saudia yakosolewa kwa kunyamazia kimya mauaji ya halaiki ya Waislamu wa Myanmar
Sep 09, 2017 12:01Mkuu wa Umoja wa Maulama wa Muqawama Duniani, amesema kutokuwa na uhusiano na Uwahabi Waislamu wa Myanmar ndio sababu Saudi Arabia kunyamazia kimya mauaji ya halaiki ya Waislamu hao wa Rohingya yanayofanywa na askari wa Myanmar.