Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Saudia yaishinikiza Kuwait imkatae balozi wa Lebanon ambaye ni Mwislamu wa Shia

    Saudia yaishinikiza Kuwait imkatae balozi wa Lebanon ambaye ni Mwislamu wa Shia

    Sep 09, 2017 11:59

    Utawala wa Saudi Arabia umeendeleza mashinikizo mbalimbali dhidi ya serikali ya Kuwait, ikiitaka nchi hiyo kuikataa barua ya utambulisho wa Rayan Said, balozi wa Lebanon ambaye ni Mwislamu wa Shia aliyetumwa nchini humo.

  • Ayatullah Movahhedi Kermani: Mataifa ya Kiislamu yaamke dhidi ya jinai za Mabudha wa Myanmar

    Ayatullah Movahhedi Kermani: Mataifa ya Kiislamu yaamke dhidi ya jinai za Mabudha wa Myanmar

    Sep 08, 2017 14:24

    Hatibu wa Swala ya Ijumaa hapa Tehran amesema kuwa hakuna matumaini ya kuona taasisi za kimataifa zikisaidia kuzuia mauaji ya Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar na ameyataka mataifa ya Kiislamu kuamka na kusimama kidete dhidi ya jinai zinazofanywa na jeshi na Mabudha wa nchi hiyo.

  • Qatar yashikilia msimamo wa kupinga masharti 13 ya Saudia ya kuanzisha tena uhusiano

    Qatar yashikilia msimamo wa kupinga masharti 13 ya Saudia ya kuanzisha tena uhusiano

    Sep 08, 2017 03:12

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar, Mohammad bin Abdulrahman Aal Thani amesema, masharti 13 yaliyowekwa na tawala za Kiarabu zinazoongozwa na Saudia ambazo zimeiwekea nchi yake vikwazo, hayakubaliki kwani yanalenga kuhujumu mamlaka ya kijitawala Qatar.

  • Saudia yalegeza misimamo ya chuki; yapiga marufuku vyombo vyake vya habari kuishambulia Iran

    Saudia yalegeza misimamo ya chuki; yapiga marufuku vyombo vyake vya habari kuishambulia Iran

    Sep 04, 2017 23:00

    Gazeti la Raýul-Yaum limezinukuu duru za ngazi za juu za utawala wa Saudi Arabia na kuandika kuwa Baraza la Ufalme wa Aal Saud limetoa amri kwa magazeti na kanali za televisheni za nchi hiyo ziache kuishambulia Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Mashirika 62 ya haki za binadamu yaishitaki Saudia kwa jinai zake nchini Yemen

    Mashirika 62 ya haki za binadamu yaishitaki Saudia kwa jinai zake nchini Yemen

    Sep 01, 2017 22:01

    Muungano wa kimataifa wa mashirika ya haki za binadamu yasiyo ya kiserikali yameutaka Umoja wa Mataifa kuunda kamati huru ya kuchunguza jinai za kivita na ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu unaofanywa na utawala wa kiimla wa Saudi Arabia nchini Yemen

  • Al-Shanqati: Njama za Saudia kuilenga Iran ndani ya eneo la Mashariki ya Kati zimefeli sana

    Al-Shanqati: Njama za Saudia kuilenga Iran ndani ya eneo la Mashariki ya Kati zimefeli sana

    Aug 31, 2017 04:25

    Mhadhiri wa masuala ya kisiasa nchini Bahrain, ameitaja Saudia kuwa iliyofeli sana katika njama zake tofauti eneo la Mashariki ya Kati kuilenga Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Mgogoro wa Riyadh na Doha wasababisha idadi ya Mahujaji wa Qatar kupungua

    Mgogoro wa Riyadh na Doha wasababisha idadi ya Mahujaji wa Qatar kupungua

    Aug 29, 2017 03:05

    Athari za mgogoro kati ya Doha na Riyadh zimeathiri pakubwa idadi ya Mahujaji wa Qatar walioenda kutekeleza ibada tukufu ya Hijja mwaka huu nchini Saudi Arabia.

  • Wanamfalme wanaomuunga mkono bin Nayef wafungwa jela ya siri na Bin Salman, Saudia

    Wanamfalme wanaomuunga mkono bin Nayef wafungwa jela ya siri na Bin Salman, Saudia

    Aug 28, 2017 10:29

    Duru za habari nchini Saudia zimeripoti kwamba, Mohammad bin Salman bin Abdulaziz Aal Saud, mrithi wa kiti cha ufalme nchini humo anatumia jela za siri kuwafunga wanamfalme wengine wanaomuunga mkono Muhammad bin Nayef, mrithi wa kiti cha ufalme aliyefutwa kazi.

  • Wayemen waandamana kulaani ukatili wa Saudia dhidi yao

    Wayemen waandamana kulaani ukatili wa Saudia dhidi yao

    Aug 27, 2017 03:13

    Mamia ya maelfu ya wananchi wa Yemen kwa mara nyingine tena wamefanya maandamano katika mji mkuu Sana'a kulaani ukatili na mashambulizi ya kila uchao ya Saudi Arabia dhidi ya nchi hiyo maskini.

  • Ndege za kivita za Saudia zimeua raia 56 Yemen katika wiki moja

    Ndege za kivita za Saudia zimeua raia 56 Yemen katika wiki moja

    Aug 26, 2017 02:23

    Hujuma za ndege za kivita za Saudia zimeua raia zaidi ya 56 kote Yemen wakiwemo wanawake na watoto katika kipindi cha wiki moja iliyopita.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS