Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Wasiwasi wa Amir wa Kuwait kuhusiana na mpasuko katika ulimwengu wa Kiarabu

    Wasiwasi wa Amir wa Kuwait kuhusiana na mpasuko katika ulimwengu wa Kiarabu

    Jun 13, 2017 23:46

    Sambamba na kuendelea mgogoro katika ulimwengu wa Kiarabu, Amir wa Kuwait ameelezea wasiwasi mkubwa alionao kutokana na kuendelea mvutano katika uhusiano wa baadhi ya nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi na kutahadharisha kuhusiana na matokeo mabaya ya kuendelea hitilafu kati ya Saudi Arabia na Qatar.

  • Zarif: Wakuu wa Saudia wametangaza wazi wataleta vita ndani ya Iran

    Zarif: Wakuu wa Saudia wametangaza wazi wataleta vita ndani ya Iran

    Jun 13, 2017 09:11

    Waziri wa Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, "wakuu wa Saudi Arabia wametangaza wazi kuwa watahamishia vita ndani ya Iran na hili ni tishio la moja kwa moja."

  • Saudia yawapiga marufuku raia wa Qatar kuingia Masjid al-Haram

    Saudia yawapiga marufuku raia wa Qatar kuingia Masjid al-Haram

    Jun 11, 2017 22:44

    Mgogoro wa kidiplomasia ulioibuka kati ya Saudi Arabia ikishirikiana na nchi kadhaa za Kiarabu dhidi ya Qatar unaonekana kuchukua sura mpya baada ya watawala wa Aal Saud kuwazuia raia wa Qatar kuingia katika msikiti wa Makka.

  • Saudia yaendelea kuzusha migogoro eneo la Mashariki ya Kati, yaelekea tena Iraq

    Saudia yaendelea kuzusha migogoro eneo la Mashariki ya Kati, yaelekea tena Iraq

    Jun 11, 2017 13:56

    Utawala wa kifalme wa Aal-Saud nchini Saudi Arabia kwa kushirikiana na washirika wake (yaani Jordan na Imarat chini ya uungaji mkono kamili wa Marekani na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel) imempa ahadi kiongozi wa eneo la Kurdistan nchini Iraq ya kumtaka atangaze kujitenga na serikali kuu ya Baghdad.

  • Mauritania nayo yakata uhusiano na Qatar, Gabon yaishutumu Doha

    Mauritania nayo yakata uhusiano na Qatar, Gabon yaishutumu Doha

    Jun 07, 2017 02:39

    Katika hatua inayoonekana ni kufuata kibubusa sera za Saudi Arabia, Mauritania imetangaza kukata uhusiano wa kidiplomasia na Qatar, siku chache baada ya nchi kadhaa za Kiarabu kuchukua hatua kama hiyo.

  • Trump aunga mkono Saudia katika mgogoro na Qatar

    Trump aunga mkono Saudia katika mgogoro na Qatar

    Jun 06, 2017 23:18

    Rais Donald Trump wa Marekani ameunga mkono Saudi Arabia katika mgogoro wake na Qatar na kwa njia isiyo ya moja kwa moja akaituhumu Qatari kuwa inaunga mkono ugaidi.

  • Qatar yaafiki upatanishi wa Kuwait katika mgogoro na Saudia

    Qatar yaafiki upatanishi wa Kuwait katika mgogoro na Saudia

    Jun 06, 2017 09:10

    Qatar imesema iko tayari kuipa Kuwait fursa kuwa mpatanishi katika mgogoro ulioibuka baada ya Saudi Arabia kuzichochea nchi kadhaa za Kiarabu kukata uhusiano na nchi hiyo.

  • Qatar: Madai dhidi yetu si ya kweli na hayana msingi

    Qatar: Madai dhidi yetu si ya kweli na hayana msingi

    Jun 05, 2017 03:15

    Baada ya Saudi Arabia, Misri, Imarati na Bahrain kukata uhusiano na Qatar mapema leo Jumatatu, wizara ya mambo ya nje wa Qatar imesema, imesikitishwa na hatua hiyo.

  • Kiongozi wa upinzani Uingereza aituhumu Saudia kwa kuunga mkono ugaidi

    Kiongozi wa upinzani Uingereza aituhumu Saudia kwa kuunga mkono ugaidi

    Jun 05, 2017 02:20

    Kiongozi wa upinzani nchini Uingereza, Jeremy Corbyn amesema, wakati sasa umewadia kwa nchi yake kufanya 'mazungumzo magumu' na Saudia Arabia na madola mengine ya Kiarabu ambayo yanaunga mkono magaidi.

  • Wapiganaji wa Ansarullah wamuangamiza afisa wa jeshi la Saudia

    Wapiganaji wa Ansarullah wamuangamiza afisa wa jeshi la Saudia

    Jun 03, 2017 10:39

    Wapiganaji wa Harakati ya Ansarullah nchini Yemen wamepambana vikali na wanajeshi vamizi wa Saudi Arabia katika maeneo ya mipakani na kumuangamiza afisa wa jeshi la Saudia mwenye cheo cha kapteni.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS