Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Saudia yatabiri kutokea mapinduzi ya kijeshi nchini Qatar

    Saudia yatabiri kutokea mapinduzi ya kijeshi nchini Qatar

    Jun 02, 2017 21:59

    Katika hali inayoonekana ni ya kuzidi kuvurugika uhusiano wa Saudi Arabia na Qatar, gazeti moja la Saudia linalochapishwa mjini Riyadh limetabiri kuwa, kuna uwezekano wa kutokea mapinduzi ya sita ya kijeshi nchini Qatar hasa kwa kuzingatia katika nchi hiyo ndogo ya Kiarabu kumetokea mapinduzi matano ya kijeshi katika kipindi cha baina ya mwaka 1971 na 2013.

  • Utawala wa Aal-Saud watumia ndege zisizo na rubani kushambulia raia eneo la Qatif

    Utawala wa Aal-Saud watumia ndege zisizo na rubani kushambulia raia eneo la Qatif

    Jun 01, 2017 23:50

    Vyombo vya habari nchini Saudi Arabia vimetangaza kuwa, utawala wa Aal-Saud umetumia ndege zisizo na rubani katika mashambulizi dhidi ya raia katika eneo la Qatif, mashariki mwa nchi hiyo.

  • Wasomi 1500 wa Misri wapinga kupewa Saudia visiwa vya nchi yao

    Wasomi 1500 wa Misri wapinga kupewa Saudia visiwa vya nchi yao

    Jun 01, 2017 09:51

    Shakhsia na wasomi 1500 wa Misri wametangaza rasmi upinzani wao kwa uamuzi wa serikali ya nchi hiyo wa kutaka kuipa Saudi Arabia visiwa viwili vya Misri vya Tiran na Sanafir.

  • Abdul-Malik al-Houthi: Fikra za Uwahabi za Saudia ndizo zinazoeneza ugaidi duniani

    Abdul-Malik al-Houthi: Fikra za Uwahabi za Saudia ndizo zinazoeneza ugaidi duniani

    Jun 01, 2017 02:58

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amekosoa vikali misimamo ya Saudi Arabia na mkatakati wake wa kueneza fikra za Uwahabi na kubainisha kwamba, matukio ya kigaidi yanayoshuhudiwa katika maeneo mbalimbali duniani chimbuko lake ni fikra za Kiuwahabi za Saudia.

  • Mamluki 46 wa Saudia wauawa na kujeruhiwa Yemen

    Mamluki 46 wa Saudia wauawa na kujeruhiwa Yemen

    May 31, 2017 10:06

    Duru za kuaminika za Yemen zimetangaza habari ya kuuawa na kujeruhiwa karibu mamluki 46 wa Saudi Arabia katika mapigano na jeshi la Yemen.

  • Israel yafaidika na mkataba wa silaha wa Saudia, Marekani

    Israel yafaidika na mkataba wa silaha wa Saudia, Marekani

    May 29, 2017 03:16

    Gazeti moja la Kizayuni, limefichua kuwa, katika mkataba wa mabilioni ya dola wa ununuzi silaha baina ya Marekani na Saudia, mashirika ya Israel yatapata faida kubwa sana.

  • Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu utatuzi wa matatizo ya ulimwengu wa Kiislamu

    Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu utatuzi wa matatizo ya ulimwengu wa Kiislamu

    May 29, 2017 01:33

    Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema katika mahafali yaliyojaa nuru ya kuwa na mapenzi makubwa na Quráni Tukufu yaliyofanyika jioni ya siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Ramadhani katika Husainia ya Imam Khomeini hapa mjini Tehran, kwamba, sababu kuu ya upotofu uliomkuba mwanadamu leo hii ni kushindwa kuyapa majibu sahihi masuala yake.

  • Wataalamu wa UN walaani Saudia kubomoa turathi za kiutamaduni za mji wa Kishia

    Wataalamu wa UN walaani Saudia kubomoa turathi za kiutamaduni za mji wa Kishia

    May 28, 2017 23:59

    Wataalamu wa Umoja wa Mataifa wameulaani utawala wa Saudi Arabia kwa kubomoa turathi za mji wa kale wa Waislamu wa madhehebu ya Shia mashariki mwa nchi hiyo.

  • Wanajeshi wa Yemen walipiza kisasi kwa  kuua askari 13 wa Saudia

    Wanajeshi wa Yemen walipiza kisasi kwa kuua askari 13 wa Saudia

    May 28, 2017 09:32

    Wanajeshi wa Yemen wametekeleza oparesheni kubwa ya kulipiza kisasi na kuuawa wanajeshi 13 Wasaudi katika maeneo kadhaa ya kusini magharibi mwa Saudi Arabia.

  • Trump achochea kuzidi kukandamizwa wapinzani nchini Saudi Arabia

    Trump achochea kuzidi kukandamizwa wapinzani nchini Saudi Arabia

    May 28, 2017 02:24

    Habari kutoka nchini Saudi Arabia zinasema kuwa, ukoo wa Aal Saud unaotawala nchini humo una nia ya kutekeleza adhabu ya kifo dhidi ya mlemavu mmoja kwa tuhuma za kushiriki katika maandamano ya kuupinga utawala wa ukoo huo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS