-
Mlipuko nadra wa homa ya Bonde la Ufa wauwa watu 17 Senegal
Oct 11, 2025 02:31Mamlaka za afya nchini Senegal zimethibitisha kuaga dunia watu 17 katika kile kinachoelezwa kuwa mlipuko mkubwa wa Homa ya Bonde la Ufa (RVF). Mlipuko huu wa homa ya Bonde la Ufa umetajwa kuwa mbaya zaidi kuwahi kuiathiri Senegal katika miongo kadhaa.
-
Kuondoa jeshi la Ufaransa nchini Senegal ni kikwazo kwa sera ya nje ya Paris barani Afrika
Jul 28, 2025 12:14Kuondoka kwa vikosi vya jeshi la Ufaransa katika kambi ya mwisho ya nchi hiyo huko Senegal na matamshi mbayo hayajawahi kutolewa hapo kabla ya afisa wa ngazi ya juu wa serikali ya Paris kwamba usalama wa Afrika Magharibi si muhimu kwa Ufaransa, kunadhihirisha kushindwa kwa sera ya muda mrefu ya ukoloni katika Bara la Afrika.
-
Je, umewadia sasa wakati wa kuhitimishwa ukoloni wa Ufaransa barani Afrika?
Jul 20, 2025 11:51Ufaransa imehitimisha muda wa zaidi ya miaka sitini ya uwepo wake wa kudumu wa kijeshi nchini Senegal kwa kukabidhi kambi ya kijeshi ya Geille iliyoko mjini Dakar kwa jeshi la nchi hiyo.
-
Ufaransa yakabidhi kambi za mwisho Senegal, yahitimisha uwepo wa kijeshi wa miongo kadhaa
Jul 17, 2025 14:15Ufaransa jana Alkhamisi ilikabidhi kambi zake za mwisho za kijeshi nchini Senegal, kuashiria kumalizika kwa uwepo wa kijeshi wa mkoloni huyo wa zamani katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi kwa miongo kadhaa.
-
Balozi wa Israel atimuliwa na waungaji mkono Palestina, Senegal
May 29, 2025 06:09Balozi wa Israel nchini Senegal, Yuval Waks, alilazimika kuondoka katika Chuo Kikuu cha Dakar baada ya wanafunzi kupinga uwepo wake na kupiga nara za kuunga mkono Palestina chuoni hapa.
-
Miili 105 ya wahamiaji 'haramu' iliopolewa katika pwani ya Senegal 2024
May 21, 2025 02:25Jumla ya miili 105 iliopolewa kutoka baharini pwani ya Senegal mwaka 2024 baada ya kupinduka kwa mitumbwi yao iliyohusishwa na uhamiaji 'usio wa kawaida'.
-
Ijumaa, Aprili 4, 2025
Apr 04, 2025 02:34Leo ni Ijumaa tarehe 5 Mfunguo Mosi Shawwal 1446 Hijria sawa na 04 Aprili mwaka 2025 Milaadia.
-
Ni sababu gani zinazifanya nchi za Afrika ziamue kuitimua Ufaransa katika ardhi zao?
Mar 10, 2025 02:27Ufaransa imeanza rasmi kuondoka katika ardhi ya Senegal kwa kukabidhi kambi mbili za kijeshi zilizoko kwenye nchi hiyo ya Kiafrika.
-
Wanajeshi wa Ufaransa kuondoka Senegal mwishoni mwa 2025
Feb 13, 2025 10:30Ufaransa na Senegal zimeeleza kuwa zimeamua kuunda tume itakayoafanya maandalizi ya kuondoka wanajeshi wa Ufaransa katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi ifikapo mwisho mwa mwaka huu.
-
Wanajeshi wa Ufaransa kuondoka pia Senegal
Jan 19, 2025 05:46Serikali ya Ufaransa inapanga kufunga kambi yake ya kijeshi nchini Senegal baada ya kuwaondoa wanajeshi wake kutoka Senegal.