-
Rais wa Senegal aapa kukabiliana na magendo ya binadamu
Sep 13, 2024 03:05Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye amesema kuwa serikali yake itafanya kila liwezekanalo kukabiliana na safari hatarishi za wahamiaji baada ya mkasa wa karibuni kuua makumi ya watu.
-
Waziri Mkuu wa Senegal ataka kutengwa, kususiwa Israel
Sep 01, 2024 06:44Waziri Mkuu wa Senegal, Ousmane Sonko ameziasa nchi za Kiislamu kuususia utawala wa Israel na kuzidisha mashinikizo ya kulitenga dola hilo la Kizayuni.
-
Ecowas yamteuwa Rais wa Senegal kuzungumza na Burkina Faso, Mali na Niger
Jul 09, 2024 02:24Jumuiya ya Kiuchumi ya Afrika Magharibi (ECOWAS) imemtaka Rais wa Senegal Bassirou Diomaye Faye kushirikiana na nchi tatu wanachama wake wa zamani zinazoongozwa kijeshi kujaribu kuliunganisha eneo hilo ambalo utulivu wake umekuwa hatarini tangu zilipoamua kujitoa katika jumuiya hiyo mwezi Januari mwaka huu.
-
Mashirika ya kiraia Senegal yataka kukatwa uhusiano wa nchi hiyo na Israel
Jun 18, 2024 07:08Wanaharakati wa mashirika ya kiraia nchini Senegal wametoa mwito kwa serikali ya nchi yao kukakata uhusiano wa kidiplomasia na utawala haramu wa Israel, kutokana na jinai za kivita na mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala huo wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Waziri Mkuu Senegal akosoa uwepo wa kambi za kijeshi za Ufaransa nchini humo; asema huwenda zikafungwa
May 17, 2024 15:10Waziri Mkuu wa Senegal, Ousmane Sonko, ameashiria uwezekano wa kufungwa kambi za kijeshi za Ufaransa katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi. Amesema hayo katika hotuba yake mbele ya vyombo vya habari ambayo pia imegusia sarafu ya CFA inayoungwa mkono na Ulaya, mikataba ya mafuta na gesi na kile kinachotajwa kuwa haki za LGBTQ (mabaradhuli) zinazopigiwa chapuo na nchi za Magharibi.
-
Alkhamisi, tarehe 4 Aprili, 2024
Apr 04, 2024 04:45Leo ni Alkhamisi tarehe 24 Ramadhani 1445 Hijria sawa na 04 Aprili mwaka 2024.
-
Kiongozi wa upinzani Bassirou Diomaye Faye, rais mpya wa Senegal
Mar 26, 2024 07:45Kiongozi wa upinzani nchini Senegal, Bassirou Diomaye Faye, mwenye umri wa miaka 44, jana aliarifishwa kuwa rais ajaye wa nchi hiyo ikiwa ni chini ya wiki mbili baada ya kuachiwa huru kutoka gerezani ili kushiriki katika uchaguzi.
-
Macky Sall awaonya wagombea wa kiti cha urais Senegal kutojitangazia ushindi kabla ya matokeo rasmi
Mar 25, 2024 11:29Rais anayemaliza muda wake wa uongozi nchini Senegal Macky Sall amewaonya wagombea wa kiti cha urais kuacha kudai kuwa washindi wa uchaguzi huo kabla ya Tume ya Taifa ya nchi hiyo kutangaza matokeo rasmi ya uchaguzi.
-
Mgombea urais wa kwanza mwanamke nchini Senegal ajikita katika maendeleo na usawa wa kijinsia
Mar 10, 2024 11:49Anta Babacar Ngom, mwanamke wa kwanza kugombea kiti cha urais huko Senegal amesema kuwa anataka kuiweka nchi hiyo katika njia ya viwanda na kuanzisha mfumo wa haki wa kugombea wanawake nafasi mbalimbali za uongozi wa nchi.
-
Wagombea 15 wa urais Senegal wataka uchaguzi ufanyike kabla ya muhula wa Rais Sall kumalizika
Feb 20, 2024 07:05Wagombea 15 kati ya 20 walioidhinishwa kugombea katika uchaguzi wa urais wa Senegal ambao uliakhirishwa kufanyika mwezi huu wa Februari wametaka uchaguzi huo mpya uwe umeshafanyika kabla ya tarehe Pili Aprili.