-
Ajali ya pili ya barabarani Senegal ndani ya wiki moja yaua watu 19
Jan 17, 2023 03:46Ndani ya wiki moja tangu ilipotokea ajali mbaya ya barabarani nchini Senegal, ambapo watu 125 waliuawa na kujeruhiwa, ajali nyingine imetokea kaskazini mwa nchi hiyo na kuua watu 19.
-
Senegal yaomboleza vifo vya makumi ya watu katika ajali ya barabarani
Jan 09, 2023 04:09Rais Macky Sall wa Senegal ametangaza siku 3 za maombolezo kufuatia ajali mbaya ya barabarani iliyosababisha vifo vya makumi ya watu mapema jana Jumapili.
-
Bunge jipya la Senegal lina idadi kubwa ya wabunge wateule wanawake
Sep 12, 2022 02:19Senegal leo Jumatatu inafungua pazia jipya wakati idadi kubwa ya wabunge wateule katika bunge jipya la nchi hiyo watakapoanza shughuli zao, na hivyo kutoa matumaini ya kujiri mabadiliko katika nchi hiyo ambayo sheria na mitazamo ya mfumo dume imekita mizizi.
-
Rais Raisi: Kuipa umuhimu Afrika ni moja ya mihimili mikuu ya sera za nje za Iran
Jun 01, 2022 08:07Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, kuipa umuhimu Afrika ni moja ya mihimili mikuu ya sera za nje za Tehran.
-
Jumatatu tarehe 4 Aprili 2022
Apr 04, 2022 02:43Leo ni Jumatatu tarehe Pili Ramadhani 1443 Hijria sawa na Aprtiili 4 mwaka 2022.
-
Khatibzadeh: Bara la Afrika lina nafasi maalumu katika siasa za nje za Iran
Mar 30, 2022 11:48Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Iran amesema kuwa bara la Afrika lina nafasi ya juu kabisa katika siasa za nje za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Zaidi ya watu 6,000 wakimbia makazi yao nchini Gambia kutokana na mzozo wa Casamance, Senegal
Mar 21, 2022 06:42Mamlaka ya Gambia imetangazai kwamba imehesabu zaidi ya watu 6,000 waliokimbia ghasia za wiki moja iliyopita kati ya jeshi na waasi wenye silaha katika eneo la Casamance kusini mwa nchi jirani ya Senegal.
-
Rais wa Senegal alipongeza taifa la Iran kwa maadhimisho ya Siku ya Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 12, 2022 06:55Rais wa Senegal ametoa mkono wa baraka na fanaka kwa serikali na taifa la Iran kwa mnasaba wa kuadhimisha mwaka wa 43 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Wabunge Senegal wawasilisha muswada dhidi ya ushoga
Dec 24, 2021 02:50Kundi la wabunge nchini Senegal limewasilisha muswada bungeni ili kutilia mkazo na kulipa nguvu suala la kutokomeza vitendo vya ushoga na mahusiano ya watu wenye jinsia moja katika nchi hiyo ya Maghariibi mwa Afrika yenye raia wengi Waislamu.
-
Jumapili, Aprili 4, 2021
Apr 04, 2021 02:31Leo ni Jumapili tarehe 4 Aprili mwaka 2021 Miladia, inayosadifiana na tarehe 21 Shaaban mwaka 1442 Hijria.