-
Russia nayo yaionya Washington kuhusu shambulio lolote dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran
Apr 02, 2025 02:30Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameonya kwamba shambulio lolote dhidi ya miundombinu ya nyuklia ya Iran linaweza kuwa na madhara makubwa kwa eneo zima la Mashariki ya Kati.
-
Vikosi vya Ulinzi vya Yemen vyaishambulia kwa mara ya pili manowari ya kubebea ndege za kivita ya US
Mar 17, 2025 05:38Vikosi vya Ulinzi vya Yemen vimeishambulia kwa mara ya pili manowari ya kubebea ndege za kivita ya Marekani ya USS Harry Truman na kuzima mashambulizi ya anga yaliyokuwa yamedhamiriwa kufanywa na Washington dhidi ya nchi hiyo.
-
Israel yaishambulia Hospitali Ghaza mara kadhaa, yaua watu 30 kati ya waliokuwemo ndani
Dec 06, 2024 13:53Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limeshambulia mara kadhaa hospitali ya Kamal Adwan na majengo kadhaa ya karibu ya makazi ya raia kaskazini mwa Ukanda wa Ghaza, na kuwaua shahidi Wapalestina wasiopungua 30 na kuwajeruhi wengine wengi.
-
Kulaaniwa na Jumuiya ya NAM uvamizi wa Israel dhidi ya Iran
Nov 06, 2024 02:14Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote (NAM), imelaani uovu wa utawala wa Kizayuni na hujuma yake ya makusudi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kutangaza kuwa, shambulio hilo ni ukiukaji mkubwa wa mamlaka na umoja wa ardhi ya Iran.
-
Malalamiko ya wajumbe wa Baraza la Usalama dhidi ya ushirikiano wa Marekani na utawala wa Kizayuni
Oct 30, 2024 10:05Katika kikao cha dharura cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kilichofanyika karibuni kwa ajili ya kijadili suala la hujuma ya anga ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, nchi nyingi zikiwemo Algeria, China, Russia, Iraq na Syria zimelaani vikali kitendo hicho cha uchokozi na kutaka uchokozi huo ukomeshwe mara moja.
-
Muqawama wa Iraq wafanya mashambulio ya ndege zisizo na rubani katika vituo vya Kijeshi vya utawala wa Kizayuni
Oct 21, 2024 07:45Katika taarifa, Muqawama wa Kiislamu wa Iraq umetangaza kufanya mashambulio ya ndege zisizo na rubani katika maeneo ya utawala wa Kizayuni katika milima ya Golan ya Syria inayokaliwa kwa mabavu na Israel.
-
Onyo la Iran kwa Marekani kuhusu chokochoko tarajiwa ya Israel
Oct 21, 2024 02:22Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Marekani inapasa kubebeshwa dhima ya shambulio lolote tarajiwa la Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Sisitizo la Pentagon la uungaji mkono kamili wa Marekani kwa Israel; ruhusa kwa ajili ya jinai zaidi
Aug 28, 2024 04:34Katika muendelezo wa uungaji mkono wa maafisa wa Ikulu ya White House kwa utawala wa Kizayuni wa Israel, Waziri wa Ulinzi wa Marekani amesisitiza azma ya Washington ya kuendelea kuuunga mkono utawala huo.
-
Russia: Ukraine imeingia Kursk kwa ushirikiano wa mashirika ya ujasusi ya Magharibi
Aug 24, 2024 02:12Idara ya Ujasusi wa Nje ya Russia (FIS) imetangaza kwamba kuingia Ukraine katika eneo la nchi hiyo katika jimbo la Kursk kulifanywa kwa ushirikiano wa mashirika ya ujasusi ya nchi za Magharibi.
-
Takwa la Waislamu wa Marekani kwa Biden la kulaani ugaidi wa kiserikali wa Israel
Aug 11, 2024 13:40Baraza la Mahusiano ya Kiislamu Marekani (CAIR) limemtaka Rais Joe Biden wa nchi hiyo ajibu na kulaani vitendo vya ugaidi wa kiserikali vinavyofanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.