-
Shambulio dhidi ya Yemen, duru mpya ya chokochoko za Marekani na Magharibi katika eneo
Jan 12, 2024 09:30Siku moja baada ya kupitishwa rasimu ya azimio lililopendekezwa na Marekani la kulaani kile kilichoitwa mashambulio ya Yemen dhidi ya meli katika Bahari Nyekundu, Washington imeishambulia Yemen katika duru mpya ya chokochoko zake katika eneo.
-
Watu kadhaa wauawa katika shambulizi la ADF nchini Uganda
Dec 20, 2023 03:04Kwa akali watu watano wameuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika shambulizi linaloshukiwa kufanywa na waasi wa kundi linalojiita Allied Democratic Forces (ADF) magharibi mwa Uganda.
-
Iran yalaani shambulio la kigaidi lililoua makumi ya watu Burkina Faso
Sep 08, 2023 07:33Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali shambulio la kigaidi lililouwa makumi ya watu nchini Burkina Faso.
-
Kutimia miaka 20 ya shambulio la Marekani dhidi ya Iraqi: Nembo ya sera za vita na maamuzi ya upande mmoja
Mar 21, 2023 02:26Miaka 20 iliyopita, Machi 20, 2003, George W. Bush, Rais wa Marekani, aliamuru mashambulizi dhidi ya Iraq bila idhini ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kwa hatua ya upande mmoja na kinyume cha sheria kwa ushirikiano wa Waziri Mkuu wa Uingereza Tony Blair. Majeshi ya Marekani na Uingereza yalianzisha vita vikubwa dhidi ya Iraq na kupelekea kuanguka utawala wa Baath ulioongozwa na dikteta Saddam.
-
Kumbukumbu ya miaka 20 ya uongo mkubwa wa Marekani kuhalalisha shambulio dhidi ya Iraqi
Feb 06, 2023 13:04Miaka 20 iliyopita yaani Februari 5, 2003, Colin Powell, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani alishiriki katika kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa mjini New York na kuonyesha bomba la majaribio lililokuwa na mada za kimeta na kudai kuwa ni ushahidi wa kuwepo silaha za maangamizi ya umati nchini Iraq.
-
Radiamali ya Iran kwa vitendo vya uhasama vya utawala wa Kizayuni na msimamo wa kichochezi wa Ukraine
Feb 03, 2023 08:17Amir Saeed Irwani, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa, siku ya Jumatano, akizungumzia shambulio la kigaidi kwenye kiwanda cha Wizara ya Ulinzi huko Isfahan, amesema katika barua kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na pia kwa mwenyekiti wa kiduru wa Baraza la Usalama kwamba uchunguzi wa awali unaonyesha kuwa utawala wa Kizayuni umehusika na tukio hilo la kigaidi.
-
Wanajeshi, raia 28 wauawa katika hujuma za kigaidi Burkina Faso
Jan 31, 2023 07:07Kwa akali watu 28 wakiwemo wanajeshi na raia wameuwa katika mashambulizi mawili ya kigaidi kaskazini mwa Burkina Faso.
-
Uungaji mkono wa Marekani kwa mashambulizi ya Ukraine dhidi ya Crimea; jitihada za kujaribu kuchochea vita
Jan 22, 2023 02:24Sabrina Singh, Naibu Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) ameeleza kuwa, eti Marekani inakitambua kisiwa cha Crimea kuwa sehemu ya ardhi ya Ukraine na kwamba inaunga mkono oparesheni za Kyiv za kukikomboa kisiwa hicho.
-
Uungaji mkono wa Marekani kwa makundi yanayotaka kujitenga ya Iran
Nov 26, 2022 02:31Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imelaani operesheni za kijeshi Iran dhidi ya makundi ya kigaidi ya Wakurdi wanaotaka kujitenga yaliyoko kaskazini mwa Iraq na imeitaka Tehran kusitisha mashambulizi hayo.
-
Wanamgambo waua wanakijiji 12 kaskazini mwa Nigeria
Nov 17, 2022 07:02Watu wenye silaha nchini Nigeria wameshambulia kijiji kimoja na kuwaua watu wasiopungua 12 katika shambulizi jipya huko kaskazini-magharibi mwa nchi hiyo.