-
Watu 15 wauawa katika shambulio la kigaidi nchini Somalia
Nov 06, 2022 07:34Kwa akali watu 15 wameuawa katika shambulio jingine la kigaidi lililolenga kambi ya mafunzo ya kijeshi karibu na Mogadishu, mji mkuu wa Somalia.
-
Waandishi 260 wa habari washambuliwa na wanajeshi wa Israel katika kipindi cha mwaka mmoja
Mar 15, 2022 02:56Zaidi ya waandishi wa habari 260 wameshambuliwa na wanajeshi makatili wa utawala wa Kizayuni katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni hao.
-
Mazungumzo ya simu ya Marais wa Iran na Russia
Feb 27, 2022 03:52Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Sayyid Ebrahim Raisi, na Rais wa Russia, Vladimir Putin, walifanya mazungumza ya simu Alhamisi iliyopita kuhusu masuala ya kimataifa na mazungumzo yanayoendelea huko Vienna kuhusu suala la kuondolewa vikwazo vya nchi za Magharibi dhidi ya Iran.
-
Vikwazo vyenye wigo mpana vya Wamagharibi dhidi ya Russia
Feb 25, 2022 13:33Baada ya Russia kuchukua uamuzi wa kuishambuulia kijeshi Ukraine, kambi ya magharibi imeonyesha radiamali katika fremu ya kuiwekea vikwazo Moscow ambapo kabla ya hapo madola hayo yalikuwa yameahidi kuchukua uamuzi huo.
-
Ufaransa yakiri makosa yake ya kushiriki katika mashambulio ya Libya
Oct 11, 2021 02:28Akizungumza karibuni katika mji wa Montpellier na viongozi wa nchi za Kiafrika za eneo la Sahel, Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amekiri kwamba nchi yake ilifanya makosa kwa kushiriki katika mashambulio ya kijeshi yaliyofanyika dhidi ya Libya nwaka 2011.
-
'Kuua raia mjini Kabul kumeonyesha udhaifu wa kiintelijensia wa Marekani'
Sep 20, 2021 11:22Mchambuzi wa zamani wa masuala ya usalama katika wizara ya ulinzi ya Marekani, Pentagon amesema, kukiri makamanda wa jeshi la Marekani kwamba walifanya shambulio kimakosa katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul na kuua raia wa nchi hiyo kumeonyesha udhaifu wa kiintelijensia wa Washington.
-
Mfumo wa kupiga kura kwa njia ya elektroniki nchini Russia wahujumiwa na wadukuzi
Sep 18, 2021 08:12Mwenyekiti wa Kamisheni ya Ulinzi wa Haki ya Kujitawala ya Baraza la Seneti la Russia ametangaza kuwa, mfumo wa kupiga kura kwa njia ya elektroniki nchini humo umehujumiwa na wadukuzi kutoka nchi za Magharibi.
-
Watu 19 wauawa katika shambulizi jipya la wabeba silaha Niger
Jul 30, 2021 12:39Raia 19 wameuawa kwenye shambulizi linaloaminika kuwa la kigaidi katika mpaka wa Niger na Mali.
-
Zaidi ya walowezi 400 wavamia Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa
Jul 18, 2021 11:23Makumi ya walowezi wa Kizayuni wameuvamia tena Msikiti wa al-Aqswa huko Palestina wakisaidiwa na askari wa jeshi la utawala haramu wa Israel na kuuvunjia heshima msikiti huo ambao ni kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Ubalozi wa Marekani Baghdad washambuliwa kwa droni
Jul 06, 2021 08:16Baadhi ya duru za habari za Iraq zimetangaza habari ya kujiri shambulio la anga katika eneo la Kijani huko Baghdad na karibu na jengo la ubalozi wa Marekani.