-
Majibu ya kutapatapa ya Trump baada ya Iran kupiga kwa makombora kambi za Marekani + Video
Jan 09, 2020 10:50Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetekeleza kivitendo ahadi yake ya kutoa jibu kali kwa jinai ya Marekani ya kumuua kigaidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH.
-
UN yapinga madai ya Marekani na Saudi Arabia kuhusu kuhusika Iran katika shambulio la Aramco
Dec 12, 2019 07:42Shambulio lililofanywa na vikosi vya muqawama vya Yemen katika taasisi za Shirika la Mafuta la Aramco mashariki mwa Saudi Arabia ni pigo kubwa kwa uwezo wa mafuta wa Saudia; kiasi kwamba lilipelekea utawala wa Saudia na mutifaki wake mkuu Marekani kuituhumu Iran kuwa ilihusika na shambulio hilo ili kuhalalisha kushindwa utawala huo huko Yemen.
-
Burundi: Waasi wa Rwanda ndio wamewaua askari wetu 8 na kuwajeruhi wengine
Nov 19, 2019 16:26Wizara ya Ulinzi pamoja na duru za kijeshi za Burundi zimetangaza kwamba askari wanane wa nchi hiyo wameuawa katika shambulio lililotokea karibu na mpaka wa Rwanda.
-
Makeke ya Trump mbele ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Oct 22, 2019 11:50Donald Trump Rais wa Marekani mwenye kubwabwaja sana tangu aingie ikulu ya White House amechukua mkondo wa sera za chuki na uhasama dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na utendaji wake umejikita katika mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Tehran ili kwa njia hiyo aweze kulifanya taifa hili lisalimu amri na kukubali matakwa ya Washington.
-
Watu kadhaa wauawa katika shambulizi la bomu Somalia
Sep 19, 2019 13:41Watu watatu wamethibitishwa kupoteza maisha katika shambulizi la bomu katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
Hujuma dhidi ya Waislamu zimeongeza nchini Marekani katika kipindi cha uongozi wa Trump
Sep 18, 2019 07:48Baraza la Uhusiano wa Kiislamu la Marekani limetangaza kuwa, hujuma na mashambulio dhidi ya Waislamu nchini humo yameongezeka mno katika kipindi cha uongozi wa Rais Donald Trump.
-
Watu kadhaa wauawa katika maombolezo ya siku ya Ashura nchini Nigeria
Sep 10, 2019 14:37Waislamu kadhaa waliokuwa katika maombolezo ya Siku ya Ashura (tarehe 10 Muharram) wakikumbuka mauaji ya mjukuu wa Mtume Muhammad (saw) wameuawa leo kwa kupigwa risasi nchini Nigeria.
-
Gazeti la Al-Quds Al-Arabi: Saudia na Israel zinachochea migogoro katika eneo
Jun 15, 2019 04:41Gazeti la Al-Quds Al-Arabi linalochapishwa London, Uingereza limeandika kuwa, baadhi ya pande katika eneo la Asia Magharibi hususan Saudi Arabia na utawala haramu wa Israel, zinahusika kushadidisha migogoro katika eneo.
-
Watu 3 wauawa katika shambulio la Daesh (ISIS) kusini mwa Libya
May 09, 2019 12:17Kwa mara nyingine tena kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) limetumia mwanya uliosababishwa na mapigano kati ya vikosi vya Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa na vile vinavyoongozwa na Jenerali Khalifa Haftar nchini Libya, kutekeleza shambulio kusini mwa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Askari 10 wauawa katika shambulio dhidi ya kambi ya jeshi la Mali
Apr 21, 2019 13:46Watu wenye silaha wameua askari wasiopungua 10 wa jeshi la Mali baada ya kushambulia kambi moja ya jeshi hilo mapema leo katika eneo la Guire katikati mwa nchi.