-
Askari 10 wauawa katika shambulio dhidi ya kambi ya jeshi la Mali
Apr 21, 2019 13:46Watu wenye silaha wameua askari wasiopungua 10 wa jeshi la Mali baada ya kushambulia kambi moja ya jeshi hilo mapema leo katika eneo la Guire katikati mwa nchi.
-
Maandamano ya kupinga serikali yaendelea Bahrain, wanajeshi washambulia kinyama wafungwa
Apr 13, 2019 13:36Maandamano ya wananchi wa Bahrain ya kupinga utawala wa kiukoo na kupigania kuwa na utawala wa wananchi yanaendelea huku utawala wa kidikteta wa ukoo wa Aal Khalifa nao ukiendelea kukandamiza raia.
-
Chini ya masaa 24 baada ya jinai dhidi ya Waislamu New Zealand, magaidi washambulia msikiti mjini London Uingereza
Mar 16, 2019 07:59Katika kipindi cha chini ya masaa 24 tangu magaidi kufanya jinai kubwa na ya kutisha dhidi ya Waislamu nchini New Zealand, magaidi wengine wameuvamia msikiti moja mjini London na kumjeruhi kijana mmoja wa Kiislamu.
-
Guterres: Kuna udharura wa kupambana na chuki dhidi ya Uislamu duniani
Mar 16, 2019 04:45Katibu MKuu wa Umoja wa Mataifa sanjari na kulaani mashambulio ya kigaidi yaliyofanywa dhidi ya misikiti miwili katika mji wa Christchurch nchini New Zealand jana Ijumaa na kuua makumi ya watu, ametoa mwito wa kuundwa mikakati ya kupambana na chuki dhidi Uislamu zinazoenea kwa kasi katika maeneo mbalimbali ya dunia.
-
Watu 14 wauawa katika shambulizi la mawahabi Burkina Faso
Feb 05, 2019 08:07Jeshi la Burkina Faso limetangaza kuwa, watu wasiopungua 14 wameuawa katika shambulizi lililofanywa na kundi la kitakfiri na kiwahabi nchini humo.
-
Jeshi la Saudia laua raia watano katika eneo la Qatif
Feb 03, 2019 15:55Jeshi la Saudi Arabia limehujumu mji WA Qatif katika mkoa wa Ash-Sharqiyyah na kuua raia watano na kuwajeruhi wengine kadhaa.
-
Shambulizi la guruneti laua kadhaa msikitini Ufilipino
Jan 31, 2019 04:32Kwa akali watu wawili wameuawa katika shambulizi la guruneti lililolenga msikiti mmoja katika eneo la Mindanao kusini mwa Ufilipino.
-
Ubalozi wa Marekani Baghdad washambuliwa baada ya safari ya kinyemela ya Trump nchini Iraq
Dec 27, 2018 07:46Ubalozi wa Mrekani mjini Baghdad nchini Iraq umeshambuliwa kwa maroketi mapema leo Alkhamisi masaa machache baada ya Rais wa nchi hiyo, Donald Trump kufanya safari ya kinyemela nchini Iraq akiandamana na mkewe.
-
Wizara ya Mambo ya Nje ya Libya yashambuliwa, 13 wauawa na kujeruhiwa
Dec 25, 2018 14:49Kwa akali watu watatu wameuawa akiwemo mtumishi wa umma wa ngazi za juu, huku wengine kadhaa wakijeruhiwa, baada ya watu waliojizatiti kwa silaha kushambulia jengo lenye Wizara ya Mambo ya Nje ya Libya katika mji mkuu Tripoli.
-
Ndege za Marekani zaendelea kuwashambulia wananchi wa Syria kwa mabomu ya fosforasi
Nov 22, 2018 02:47Muungano wa eti kupambana na magaidi wa Daesh unaoongozwa na Marekani umeendelea kuwamiminia mabomu ya kemikali hatari ya fosforasi, wananchi wa mji wa Hajin wa mashariki mwa Syria.