-
Aliyechoma moto msikiti jimbo la Texas, Marekani ahukumiwa kifungo cha miaka 25 jela
Oct 18, 2018 08:08Mahakama ya Marekani imemuhukumu kifungo cha miaka 25 jela mwanamume mmoja aliyehusika na tukio la kuchoma moto msikiti katika jimbo la Texas nchini humo.
-
Trump awashambulia marafiki na maadui zake
Oct 12, 2018 02:41Tangu aingie madarakani nchini Marekani mwezi Januari 2017, Rais Donald Trump wa nchi hiyo amekuwa akitekeleza siasa ambazo zimeifanya dunia kuwa uwanja wa malumbano na mivutano.
-
Kundi la Boko Haram lashambulia kambi ya jeshi kaskazini mashariki mwa Nigeria
Sep 28, 2018 14:35Kundi la kigaidi la Boko Haram limefanya shambulio jingine dhidi ya kambi moja ya jeshi kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Watu 9 wauawa katika shambulio la Boko Haram kaskazini mashariki mwa Nigeria
Sep 21, 2018 03:23Kundi la kigaidi la Boko Haram limeendelea kufanya mauaji kaskazini mashariki mwa Nigeria ambapo watu 9 wanaripotiwa kuuawa kufuatia shambulio la magaidi hao.
-
Mashambulio ya anga ya Saudia dhidi ya ghala la WFP huko Yemen
Sep 15, 2018 12:39Ndege za kivita za muungano vamizi huko Yemen unaoongozwa na Saudi Arabia zimelishambulia ghala la kuhifadhia chakula la Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) katika mji wa al Hudaydah.
-
Mashambulizi dhidi ya wanawake wa Kiislamu yaongozeka Ubelgiji
Sep 10, 2018 04:10Takwimu zinaonesha kuwa, karibu asilimia 76 ya wanawake Waislamu nchini Ubelgiji walishambuliwa na magenge ya watu wanaopinga Uislamu nchini humo katika mwaka uliopita wa 2017.
-
Askari 30 wauawa na makumi wajeruhiwa katika shambulio la Boko Haram kaskazini mashariki mwa Nigeria
Sep 02, 2018 02:23Askari 30 wa Nigeria wameuliwa katika shambulio lililofanywa na magaidi wa kundi la Boko Haram dhidi ya kambi moja ya jeshi kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Russia yaionya tena Marekani juu ya kufanya shambulizi dhidi ya Syria
Aug 30, 2018 16:13Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia ameelezea uwezekano wa Marekani na washirika wake kufanya shambulizi dhidi ya Syria hasa kwa kuzingatia hatua ya kusogezwa zana za kijeshi za nch hiyo katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Waasi wa ADF-NALU wa Uganda wafanya mashambulio DRC na kuua watu 6
Aug 12, 2018 12:59Waasi wa ADF-Nalu wa Uganda wamefanya mashambulio katika jimbo la Kivu Kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na kuua watu sita.
-
Askari usalama wavamia jengo la wizara ya mambo ya nje ya Somalia
Aug 05, 2018 02:33Duru za habari Somalia zimeripoti kuwa askari usalama wamevamia jengo la Wizara ya Mambo ya Nje katika mji mkuu Mogadishu kwa lengo la kumtia nguvuni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo.