-
Watu 9 wauawa katika shambulio la Boko Haram kaskazini mashariki mwa Nigeria
Sep 20, 2018 22:53Kundi la kigaidi la Boko Haram limeendelea kufanya mauaji kaskazini mashariki mwa Nigeria ambapo watu 9 wanaripotiwa kuuawa kufuatia shambulio la magaidi hao.
-
Mashambulio ya anga ya Saudia dhidi ya ghala la WFP huko Yemen
Sep 15, 2018 08:09Ndege za kivita za muungano vamizi huko Yemen unaoongozwa na Saudi Arabia zimelishambulia ghala la kuhifadhia chakula la Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) katika mji wa al Hudaydah.
-
Mashambulizi dhidi ya wanawake wa Kiislamu yaongozeka Ubelgiji
Sep 09, 2018 23:40Takwimu zinaonesha kuwa, karibu asilimia 76 ya wanawake Waislamu nchini Ubelgiji walishambuliwa na magenge ya watu wanaopinga Uislamu nchini humo katika mwaka uliopita wa 2017.
-
Askari 30 wauawa na makumi wajeruhiwa katika shambulio la Boko Haram kaskazini mashariki mwa Nigeria
Sep 01, 2018 21:53Askari 30 wa Nigeria wameuliwa katika shambulio lililofanywa na magaidi wa kundi la Boko Haram dhidi ya kambi moja ya jeshi kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Russia yaionya tena Marekani juu ya kufanya shambulizi dhidi ya Syria
Aug 30, 2018 11:43Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia ameelezea uwezekano wa Marekani na washirika wake kufanya shambulizi dhidi ya Syria hasa kwa kuzingatia hatua ya kusogezwa zana za kijeshi za nch hiyo katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Waasi wa ADF-NALU wa Uganda wafanya mashambulio DRC na kuua watu 6
Aug 12, 2018 08:29Waasi wa ADF-Nalu wa Uganda wamefanya mashambulio katika jimbo la Kivu Kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na kuua watu sita.
-
Askari usalama wavamia jengo la wizara ya mambo ya nje ya Somalia
Aug 04, 2018 22:03Duru za habari Somalia zimeripoti kuwa askari usalama wamevamia jengo la Wizara ya Mambo ya Nje katika mji mkuu Mogadishu kwa lengo la kumtia nguvuni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo.
-
Jibu la Wapalestina kwa uharamia wa Israel
Aug 01, 2018 01:41Mkuu wa Idara ya Siasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) Ismail Hania ametoa ujumbe akilaani shambulizi la utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya meli iliyokuwa njiani ikielekea Ukanda wa Gaza kuvunja mzingiro wa Israel dhidi ya wakazi wa eneo hilo na vilevile uharamia wa askari wa Israel wa kuwashambulia wanaharakati wa kimataifa wanaolitetea taifa la Palestina.
-
Kansela Merkel amjibu Trump na kumfahamisha kuwa Ujerumani huchukua maamuzi huru
Jul 11, 2018 09:11Kansela Angela Merkel wa Ujerumani amejibu matamshi makali ya Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya nchi yake na kumfahamisha kuwa, 'Ujerumani inafuata sera na maamuzi huru'.
-
Wanamgambo washambulia taasisi za mafuta mashariki mwa Libya
Jun 14, 2018 10:26Afisa mmoja wa jeshi la Libya amesema, wanamgambo wenye silaha wameshambulia taasisi za mafuta zilizoko chini ya Jenerali Khalifa Haftar mashariki mwa nchi hiyo na kuchoma moto kwa uchache tangi moja la mafuta.