Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

shambulio

  • Watu 13 wauawa katika mashambulizi ya makundi ya wabeba silaha katikati mwa Nigeria

    Watu 13 wauawa katika mashambulizi ya makundi ya wabeba silaha katikati mwa Nigeria

    Jun 04, 2018 06:06

    Viongozi wa serikali ya Nigeria wametangaza habari ya kuuawa watu 13 katika mashambulizi ya makundi ya wabeba silaha katikati mwa nchi.

  • Shambulio la bomu Benghazi, Libya laua watu saba

    Shambulio la bomu Benghazi, Libya laua watu saba

    May 25, 2018 06:55

    Kwa akali watu saba wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya gari lililokuwa limesheheni mabomu kuripuka katika barabara yenye shughuli nyingi mjini Benghazi, mashariki mwa Libya.

  • Majibu makali ya Russia kwa vikwazo vipya vya Marekani

    Majibu makali ya Russia kwa vikwazo vipya vya Marekani

    May 12, 2018 07:08

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imetoa tamko kali la kujibu vikwazo vipya vya Marekani dhidi yake na kusema kuwa, vikwazo hivyo vya serikali ya Donald Trump dhidi ya Moscow vinatokana na hamaki za Washington za kushindwa mashambulizi yake ya tarehe 14 Aprili nchini Syria.

  • Watu 18 wauawa katika hujuma dhidi ya kanisa nchini Nigeria

    Watu 18 wauawa katika hujuma dhidi ya kanisa nchini Nigeria

    Apr 25, 2018 02:58

    Kundi la watu waliobeba silaha limeshambulia kanisa moja la Kikatoliki nchini Nigeria na kuua watu wasiopungua 18.

  • Msimamo mkali wa Russia dhidi ya mashambulizi ya nchi za Magharibi huko Syria

    Msimamo mkali wa Russia dhidi ya mashambulizi ya nchi za Magharibi huko Syria

    Apr 15, 2018 03:57

    Hatimaye nchi za Magharibi zimetekeleza vitisho vyao vya kuishambulia Syria. Alfajiri ya Jumamosi ya jana Marekani, Ufaransa na Uingereza zilishambulia kwa makombora maeneo kadhaa ya Syria.

  • Viongozi mbalimbali waendelea kupinga mashambulizi dhidi ya Syria

    Viongozi mbalimbali waendelea kupinga mashambulizi dhidi ya Syria

    Apr 14, 2018 17:25

    Mashambulizi yaliyofanywa na Marekani, Ufaransa na Uingereza huko Syria yamekabiliwa na upinzani mkubwa barani Ulaya na huko Marekani.

  • Uingereza yakataa kushirikiana na Marekani katika mashambulizi dhidi ya Syria

    Uingereza yakataa kushirikiana na Marekani katika mashambulizi dhidi ya Syria

    Apr 11, 2018 13:47

    Gazeti moja la Uingereza limefichua kwamba, Waziri Mkuu wa nchi hiyo amekataa ombi la Rais wa Marekani la kushiriki katika mashambulizi dhidi ya Syria.

  • Saudia yaendeleza ukatili Yemen, yaua raia 15 katika shambulio jipya

    Saudia yaendeleza ukatili Yemen, yaua raia 15 katika shambulio jipya

    Apr 10, 2018 07:45

    Watu wasiopungua 15 wa familia moja wameuliwa katika shambulio lililofanywa na ndege za kivita za Saudi Arabia katika wilaya ya Dumnat Khadeer mkoani Taeez nchini Yemen.

  • Hujuma ya tatu ya Wayemen iliyolenga Shirika la Aramco, mwaka mgumu wa kivita kwa Saudia

    Hujuma ya tatu ya Wayemen iliyolenga Shirika la Aramco, mwaka mgumu wa kivita kwa Saudia

    Apr 06, 2018 02:23

    Vikosi vya Jeshi la Yemen na Kamati za Wananchi kwa mara nyingine vimevurumisha makombora ya balistiki ya Badr ambayo yamelenga kwa mafanikio vituo vya kuzalisha mafuta ya petroli vya Shirika la Aramco la Saudi Arabia katika mji wa Jizan ulio kusini magharibi mwa Saudia.

  • Msikiti mwingine washambuliwa kwa bomu nchini Ujerumani

    Msikiti mwingine washambuliwa kwa bomu nchini Ujerumani

    Mar 20, 2018 15:53

    Msikiti mmoja katika mji wa Ulm, kusini mwa Ujerumani umeshambuliwa kwa bomu na watu wasiojulikana, chini ya wiki mbili baada ya msikiti mwingine kuteketezwa kwa moto katika mji mkuu wa nchi hiyo ya Ulaya, Berlin.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS