-
Onyo kuhusu athari za kiusalama za mpasuko wa anga ya kisiasa ya Marekani
Jan 07, 2025 02:40Tovuti ya mtandao wa televisheni ya Marekani NBC imeandika katika ripoti yake kuhusu suala la kushamiri itikadi kali katika anga ya mtandaoni, ikionya kuhusu madhara ya usalama ya mpasuko wa nga ya kisiasa ya Marekani.
-
Putin aonya kujibu mapigo kwa nchi zinazotoa silaha za kushambulia ardhi ya Russia
Nov 22, 2024 07:24Rais Vladimir Russia ameonya kuwa, Moscow inabaki nayo haki yake ya kushambulia vituo vya kijeshi vya nchi zinazoruhusu silaha zao kutumika dhidi ya ardhi ya nchi hiyo.
-
Iran yaalani hujuma ya kigadi nchini Burkina Faso
Aug 27, 2024 11:59Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Iran amelaani shambulio la kigaidi huko Burkina Faso ambapo watu zaidi ya 200 wameuwa.
-
Netanyahu anataka kubadilisha uwanja wa mchezo
Apr 12, 2024 12:12Hamjambo na karibuni katiika kipindi chetu cha wiki hii cha Makala ya Wiki kinachobeba anwani: Netanyahu anataka kubadilisha uwanja wa mchezo.
-
Shambulio la kigaidi kusini mashariki mwa Iran
Apr 04, 2024 07:33Alireza Marhamati, Naibu Gavana anayesimamia masuala ya usalama na utekelezaji sheria katika mkoa wa Sistan na Baluchistan, kusini mashariki mwa Iran, ametangaza kutokea shambulio la kigaidi kwenye makao makuu mawili ya kijeshi katika miji ya Rask na Chabahar mkoni humo.
-
Rais Raisi: Wazayuni kamwe hawatofikia malengo yao haramu
Apr 02, 2024 10:11Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzia jinai na ugaidi uliofanywa jana Jumatatu na utawala wa Kizayuni wa kushambulia ubalozi mdogo wa Iran mjini Damascus Syria na kusema kuwa, Wazayuni wanapaswa kutambua kwamba ugaidi wao wa kinyama kama huo hauwezi kuwafanikishia malengo yao maovu.
-
Rais Ebrahim Raisi: Madola yanayowaunga mkono magaidi yanabeba dhima ya shambulizi la Damascus
Oct 07, 2023 03:23Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani shambulio la kigaidi lililotokea Syria akisema waungaji mkono wa kigeni wa magaidi, wakiwemo wale wanaokalia kwa mabavu ardhi za nchi hiyo, ndio wanaobeba dhima ya hujuma hiyo.
-
Syria: Damu ya Mashahidi itaongeza azma yetu ya kupata ushindi kamili
Oct 06, 2023 11:10Ofisi ya Rais wa Syria imetoa taarifa ikizungumzia kushindwa ugaidi mbele ya irada na uwezo wa nchi hiyo na kusisitiza kwamba damu ya Mashahidi wa chuo cha kijeshi cha Homs inaongeza azma ya Damascus ya kufikia ushindi kamili.
-
Rais wa Iran alaani mashambulizi pacha ya kigaidi Pakistan
Sep 30, 2023 04:46Rais Ebrahim Raisi wa Iran amelaani mashambulizi mawili ya kigaidi yaliuoua makumi ya watu katika jimbo la kusini magharibi la Balochistan nchini Pakistan.
-
Wanajeshi 12 wa Niger wauawa katika shambulizi la wanamgambo
Sep 29, 2023 13:29Waziri wa Ulinzi wa Niger ametangaza habari ya kuuawa wanajeshi wasiopungua 12 wa nchi hiyo katika shambulizi la kundi la wanamgambo kusini magharibi mwa nchi.