-
Raia 49, askari 15 wauawa katika mashambulizi ya kigaidi Mali
Sep 08, 2023 07:41Makumi ya raia na wanajeshi wameuawa katika mashambulizi yaliyofanywa na magenge ya wabeba silaha kaskazini mashariki mwa Mali.
-
Shambulizi la kigaidi msikitini laua Waislamu 7 Nigeria
Sep 03, 2023 03:27Genge moja la kigaidi limeshambulia Msikiti mmoja wa jimbo la Kaduna la kaskazini magharibi mwa Nigeria na kuua Waislamu wasiopungua saba.
-
UN yalaani shambulizi la kigaidi mjini Shiraz, kusini mwa Iran
Aug 15, 2023 03:30Stéphane Dujarric, Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani shambulio la kigaidi katika haram ya Sayyid Ahmad Bin Musa (as) maarufu kama Shah Cheragh katika mji wa Shiraz mkoani Fars, kusini mwa Iran.
-
Kan'ani: Kuwashambulia mazuwari wasio na hatia ni kitendo cha jinai
Aug 14, 2023 13:57Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema: Kuwashambulia mazuwari wasio na hatia katika haram ya Ahlul Bayt ni kitendo cha kijinai.
-
Shambulio la kigaidi katika kituo cha polisi cha 16 cha Zahedan lahitimishwa, magaidi 4 wauawa
Jul 08, 2023 12:22Shambulio la kigaidi lililofanywa leo na watu waliokuwa na silaha katika kituo cha polisi cha 16 huko Zahedan makao makuku ya mkoa wa Sistan na Baluchistan kusini mashariki mwa Iran limemalizika kwa kuuliwa magaidi kadhaa.
-
Iran, dunia zalaani shambulio la kigaidi lililoua 88 msikitini Pakistan
Jan 31, 2023 06:46Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani shambulio la kigaidi lililotokea jana msikitini kaskazini magharibi mwa Pakistan na kuua na kujeruhi makumi ya watu.
-
Hujuma tatu za kigaidi katika kipindi cha wiki tatu Iran; adui anatumia ugaidi baada ya kupoteza matumiani katika vita vya kisaikolojia
Nov 19, 2022 02:28Katika wiki tatu zilizopita, mashambulizi matatu ya kigaidi yametekelezwa Shiraz, Isfahan na Izeh, miji mitatu ya Iran, ambapo raia 24, ikiwa ni pamoja na wanawake kadhaa na watoto, wameuawa shahidi na makumi ya watu wengine kujeruhiwa.
-
Kadhaa watiwa mbaroni kwa kuhusika na shambulio la kigaidi lililoua watu 5 kusini mwa Iran
Nov 17, 2022 02:53Vikosi vya usalama vya Iran vimewatia mbaroni watu kadhaa wanaohusishwa na shambulio la kigaidi lililosababisha vifo vya watu sita usiku wa kuamkia leo katika mkoa wa Khuzestan, kusini magharibi mwa nchi.
-
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran alaani shambulio la kigaidi la Istanbul Uturuki
Nov 15, 2022 02:30Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani shambulio la kigaidi lililotokea juzi jioni mjini Istanbul Uturuki na kuua na kujeruhi makumi ya watu.
-
HAMAS, Jihad Islami na Yemen zalaani shambulio la kigaidi nchini Iran
Oct 29, 2022 04:21Harakati za Muqawama wa Kiislamu za Palestina na mamlaka za Yemen zimetoa taarifa za kulaani shambulio la kigaidi lililotokea siku ya Jumatano katika Haram Tukufu ya Shah Cheragh ya mjini Shiraz, kusini magharibi mwa Iran.