-
Ayatullah Khamenei: Wahalifu waliohusika na jinai ya Shiraz wataadhibiwa
Oct 27, 2022 13:19Kufuatia tukio la kigaidi lililotokea katika Haram ya Hadhrat Ahmad bin Musa (Shah Cheragh) huko Shiraz, Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma salamu za rambirambi kwa familia zilizofiwa akisisitiza kuwa wahalifu waliohusika na jinai hiyo wataadhibiwa.
-
Ijumaa tarehe 15 Julai 2022
Jul 15, 2022 02:31Leo ni Ijumaa tarehe 15 Mfunguo Tatu Dhulhija 1443 Hijria sawa na Julai 15 mwaka 2022
-
Barham Salih: Shambulio la Diyala linaonyesha kushindwa magaidi nchini Iraq
Jan 22, 2022 08:47Rais wa Iraq almesisitiza kuwa shambulio la kigaidi katika mkoa wa Diyala ni kitendo cha chuki kinacholenga usalama wa Iraq.
-
AU yasikitishwa na shambulio la kigaidi lililoua watu 69 Niger
Nov 06, 2021 03:24Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika amelaani shambulio la kigaidi lililoua makumi ya watu huko kusini magharibi mwa Niger.
-
Waliouawa katika shambulio la kigaidi nchini Burkina Faso waongezeka na kufika 80
Aug 20, 2021 07:28Serikali ya Burkina Faso imetangaza kuwa, idadi ya watu waliouawa katika shambulio la kigaidi lililotokea nchini humo katika eneo la Sahel imefika 80.
-
Wanajeshi 15 wa Niger wauawa katika shambulio la kigaidi huko Torodi
Aug 02, 2021 06:56Wizara ya Ulinzi ya Niger imetangaza kuwa, kwa akali wanajeshi wake 15 wameuawa kufuatia shambulio la kigaidi kusini magharibi mwa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Kigali: Mwenyeji wa kikao cha mameya wa miji ya Francophone + Sauti
Jul 21, 2021 16:00Meya wa miji mikuu ya nchi zinazotumia lugha ya Kifaransa wameyahimiza mataifa wanachama hasa yale yaliyoko kusini mwa jangwa la Sahara barani Afrika kulipa kipaumbele suala la kuwaelimisha wananchi wao kuhusu elimu ya uzazi wa mpango. Kutoka Kigali mwandishi wetu Sylivanus Karemera anaripoti zaidi.
-
Watu kadhaa wauawa na kujeruhiwa katika shambulio la magaidi wa Boko Haram huko Niger
Dec 14, 2020 07:43Magaidi wa kundi la Boko Haram wamekishambulia kijiji kimoja kusini mashariki mwa Niger na kuua na kujeruhi watu kadhaa.
-
Spika Qalibaf asisitiza nchi za eneo kushirikiana ili kuutokomeza ugaidi
Nov 08, 2020 02:37Spika wa Majlisi ya Ushauri wa Kiislamu ya Iran amelaani shambulio la kigaidi lililolenga wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kabul nchini Afghanistan na kusisitizia ulazima wa nchi za eneo kushirikiana pamoja ili kuutokomeza ugaidi.
-
Askari wengine wa Ufaransa wauawa na kujeruhiwa nchini Mali
Sep 06, 2020 07:39Wanajeshi wawili wa Ufaransa wameuawa huku mwingine mmoja akijeruhiwa katika shambulizi la kigaidi huko kaskazini mwa Mali.