-
Wanavijiji 12 wauawa Mali, huku mazungumzo ya kutatua mzozo wa kisiasa yakiendelea
Jul 17, 2020 08:00Raia wasiopungua 12 wameuliwa baada ya watu wasiojulikana waliobeba silaha wakiwa wamepanda pikipiki kushambulia vijiji kadhaa vya wakulima wa kabila la Dogon katika eneo la Mopti, katikati mwa Mali.
-
Mashambulizi pacha ya mabomu yaua raia na askari kadhaa nchini Somalia
Jun 21, 2020 14:53Kwa akali watu saba wameuawa katika mashambulizi mawili tofauti ya mabomu yanayoaminika kufanywa na kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab huko kusini na katikati mwa Somalia ndani ya masaa 24.
-
Wanajeshi 2 wa kulinda amani wa UN wauawa nchini Mali
Jun 15, 2020 03:10Askari wawili wa Kikosi cha Umoja wa Mataifa cha Kulinda Amani nchini Mali (MINUSMA) wameuawa katika shambulizi lililotokea kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Shambulizi la kigaidi laua wanajeshi 10 wa Ivory Coast
Jun 12, 2020 02:33Kwa akali askari 10 wa Jeshi la Ivory Coast wameuawa katika shambulizi la genge moja la wanamgambo katika mpaka wa nchi hiyo na Burkina Faso.
-
7 wauawa katika mripuko wa bomu karibu na Mogadishu, Somalia
May 31, 2020 11:38Kwa akali watu saba wamepoteza maisha baada ya basi dogo lililokuwa limewabeba kukanyaga bomu la kutegwa ardhini kando ya barabara moja katika kijiji cha Hawa Abdi viungani mwa mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
Makumi ya askari wauawa katika shambulizi la kigaidi nchini Mali
Apr 07, 2020 07:37Makumi ya wanajeshi wa Mali wameuawa katika shambulio la magaidi dhidi ya kambi moja ya jeshi katika eneo la Bamba jimboni Gao, kaskazini mwa nchi.
-
Shambulio la kigaidi laua wanajeshi 70 kaskazini mwa Nigeria
Mar 24, 2020 14:44Askari wasiopungua 70 wa jeshi la Nigeria wameuawa katika shambulio la kigaidi lililotokea katika jimbo la Borno kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Watu wasiopungua 11 wauawa katika shambulio la kigaidi Niger
Feb 09, 2020 03:29Raia wasiopungua 11 wameuawa katika mashambulizi mawili tofauti huko Niger. Katika shambulio moja lililofanywa juzi Ijumaa wanamgambo wa kundi la kitakfiri na kigaidi la Boko Haram waliwauwa raia sita katika wilaya ya Bosso kusini mashariki mwa mkoa wa Diffa unaopakana na Chad na Nigeria.
-
Magaidi waua raia 20 kaskazini mwa Burkina Faso
Feb 03, 2020 08:09Afisa mmoja wa usalama nchini Burkina Faso amesema kuwa, raia wasiopungua 20 wameuawa katika shambulio la kigaidi lililotokea kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Watu 39 wauawa katika shambulio la kigaidi kaskazini mwa Burkina Faso
Jan 29, 2020 08:13Watu 39 wameuawa katika shambulio la kigaidi lililofanywa kaskazini mwa Burkina Faso.