-
Shambulizi la bomu laua na kujeruhi watu 14 nchini Somalia
Jan 19, 2020 08:03Mripuko wa bomu uliolenga wafanyakazi wa mradi wa ujenzi wa Kituruki nchini Somalia umeua watu watatu na kujeruhi wengine 11.
-
Watu 14 wauawa katika mapigano ya kikabila nchini Mali
Jan 17, 2020 07:31Umoja wa Mataifa umesema watu 14 kutoka jamii ya Fulani katikati mwa Mali wameuawa katika kile kinachoaminika ni mapigano ya kikabila.
-
Watu 15 wauawa Nigeria katika shambulizi la Boko Haram
Dec 15, 2019 07:52Kwa akali watu 15 wameuawa katika shambulizi la kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram katika mji wa Magumeri, mkoani Borno kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Jeshi la Somalia lazima shambulizi la al Shabab dhidi ya Ikulu ya Rais mjini Mogadishu
Dec 11, 2019 06:51Jeshi la Somalia limetangaza kuwa, limewaangamiza wapiganaji 5 wa kundi la kigaidi la al Shabab waliojaribu kuingia na kuhujumu Ikulu ya Rais na hoteli moja iliyoko karibu na eneo hilo mjini Mogadishu.
-
Watu 37 wauawa katika shambulizi dhidi ya mgodi wa dhahabu Burkina Faso
Nov 07, 2019 01:13Kwa akali watu 20 wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa, baada ya watu waliobeba silaha kushambulia mgodi wa dhahabu kaskazini mwa Burkina Faso.
-
Askari 53 wa Mali wauawa katika hujuma iliyolenga kambi ya jeshi
Nov 02, 2019 06:45Jeshi la Mali limetangaza kuwa, wanajeshi wake 53 na raia mmoja wameuawa katika hujuma iliyofanywa na kundi la watu waliokuwa na silaha dhidi ya kambi moja ya jeshi kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Watu 16 wauawa katika shambulizi la kigaidi Burkina Faso
Oct 29, 2019 06:52Maafisa wa serikali ya Burkina Faso wametangaza kuwa, watu 16 wameuawa katika kile kinachosadikika kuwa ni shambulizi la kigaidi kaskazini mwa nchi.
-
Jeshi la Mali laua magaidi 50 katika operesheni ya kulipiza kisasi
Oct 20, 2019 02:34Kwa akali magaidi 50 wameuawa katika operesheni ya kulipiza kisasi ya Jeshi la Mali katikati ya nchi.
-
Shambulizi dhidi ya msikiti laua watu 15 Burkina Faso
Oct 13, 2019 07:58Kwa akali watu 15 wameuawa baada ya watu waliobeba silaha kushambulia msikiti mmoja kaskazini mwa Burkina Faso.
-
Magaidi wa Boko Haram waua watu 27 Nigeria
Oct 06, 2019 12:00Watu 27 wamepoteza maisha kaskazini mashariki mwa Nigeria kufuatia shambulizi la kigaidi ambalo limetekelezwa na kundi la Boko Haram linalofungamna na kundi la kigaidi la ISIS (Daesh).