Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

shambulizi la kigaidi

  • Rais wa Afghanistan anusurika katika shambulizi la bomu la Taliban

    Rais wa Afghanistan anusurika katika shambulizi la bomu la Taliban

    Sep 18, 2019 02:41

    Rais Ashraf Ghani wa Afghanistan ameponea chupuchupu katika shambulizi la bomu lililojiri karibu na mkutano wake wa kisiasa katika mji wa Charikar, makao makuu ya mkoa wa Parwan kaskazini mwa Kabul.

  • Polisi Norway yasema shambulizi dhidi ya Msikiti wa Al-Noor lilikuwa la kigaidi

    Polisi Norway yasema shambulizi dhidi ya Msikiti wa Al-Noor lilikuwa la kigaidi

    Aug 11, 2019 13:16

    Polisi ya Norway imesema kuwa, hujuma iliyofanywa jana Jumamosi dhidi ya msikiti mmoja katika viunga vya mji mkuu wa nchi hiyo, Oslo lilikuwa shambulizi la kigaidi.

  • Bomu la kutegwa ardhini laua askari polisi 10 nchini Kenya + Sauti

    Bomu la kutegwa ardhini laua askari polisi 10 nchini Kenya + Sauti

    Jun 15, 2019 12:41

    Maafisa usalama wasiopungua 10 wameripotiwa kuuawa baada ya gari lao kukanyaga bomu la kutegwa ardhini katika kaunti ya Wajir, katika eneo la kaskazini mashariki mwa Kenya.

  • Rais Michel Aoun: Njama zote za kutaka kuibua machafuko zitapata jibu kali

    Rais Michel Aoun: Njama zote za kutaka kuibua machafuko zitapata jibu kali

    Jun 04, 2019 13:02

    Rais Michel Aoun wa Lebanon ametoa radiamali yake kufuatia shambulizi la kigaidi lililofanyika Tripoli nchini humo na kusema kuwa, hatua yoyote mbaya yenye lengo la kuibua ghasia ndani ya taifa hilo, itakabiliwa na jibu kali.

  • Watu 16 wauawa katika shambulizi la kigaidi nchini Msumbiji

    Watu 16 wauawa katika shambulizi la kigaidi nchini Msumbiji

    Jun 01, 2019 11:22

    Kwa akali watu 16 wameuawa katika shambulizi jipya la kigaidi lililotokea huko kaskazini mwa Msumbiji.

  • Kundi la Daesh (ISIS) latangaza kuhusika na mashambulizi ya Sri Lanka

    Kundi la Daesh (ISIS) latangaza kuhusika na mashambulizi ya Sri Lanka

    Apr 23, 2019 14:23

    Kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) limetangaza kuwa ndilo lililohusika na miripuko ya mabomu ya hivi karibuni nchini Sri Lanka, iliyoua mamia ya watu.

  • Naibu mkuu wa ISIS eneo la Puntland, Somalia auawa katika shambulizi la anga

    Naibu mkuu wa ISIS eneo la Puntland, Somalia auawa katika shambulizi la anga

    Apr 15, 2019 03:09

    Kamanda nambari mbili wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) ameripotiwa kuuawa katika shambulizi la anga lililofanyika katika eneo lenye mamlaka ya ndani la Puntland nchini Somalia.

  • Polisi: Gaidi aliyeua msikitini New Zealand kukabiliwa na mashitaka 50 ya mauaji

    Polisi: Gaidi aliyeua msikitini New Zealand kukabiliwa na mashitaka 50 ya mauaji

    Apr 04, 2019 08:03

    Polisi ya New Zealand imesema gaidi kwa jina Brenton Tarrant raia wa Australia ambaye alihusika katika shambulizi dhidi ya msikiti mmoja kati ya miwili iliyoshambuliwa nchini New Zealand mnamo Machi 15 atapandishwa kizimbani kesho Ijumaa, akikabiliwa na mashitaka 50 ya mauaji na 39 ya jaribio la mauaji.

  • Waziri ni miongoni mwa watu 15 waliouawa katika shambulizi la kigaidi Somalia

    Waziri ni miongoni mwa watu 15 waliouawa katika shambulizi la kigaidi Somalia

    Mar 24, 2019 03:12

    Kwa akali watu 15 wameuawa katika shambulizi la kigaidi la jana Jumamosi katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.

  • Iran yaungana na dunia kulaani mashambulizi ya kigaidi dhidi ya misikiti New Zealand

    Iran yaungana na dunia kulaani mashambulizi ya kigaidi dhidi ya misikiti New Zealand

    Mar 15, 2019 15:56

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kulaani mashambulio ya kigaidi yaliyofanywa dhidi ya misikiti miwili katika mji wa Christchurch nchini New Zealand, amezitaka nchi za Magharibi kuacha unafiki wa kuunga mkono propaganda chafu dhidi ya Waislamu kwa kisingizio cha 'uhuru wa kujieleza'.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS