-
Shambulizi la kigaidi karibu na Ikulu ya Rais laua watu kadhaa Somalia
Mar 08, 2019 07:54Kwa akali watu saba wameuawa huku wengine tisa wakijeruhiwa katika mripuko wa bomu na hujuma ya ufayatuaji risasi iliyofanywa na wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
SEPAH: Magaidi watatu wa shambulizi la Zahedan ni raia wa Pakistan
Feb 20, 2019 02:42Kamanda wa kikosi cha nchi kavu cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran amesema kuwa, gaidi aliyejilipua kwa bomu na wenzake wawili kati ya waliohusika na shambulizi la kigaidi lililofanyika siku chache zilizopita dhidi ya askari wa jeshi hilo katika mkoa wa Sistan na Baluchestan wametambuliwa kuwa ni raia wa Pakistan.
-
Iran yalaani hujuma ya kigaidi nchini Misri
Feb 19, 2019 04:25Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani hujuma ya kigaidi iliyolenga wanajeshi wa Misri katika eneo la Sinai.
-
"Iran italipiza kisasi damu ya askari wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu"
Feb 16, 2019 08:16Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) Meja Jenerali Ali Jaafari amesema: "Vikosi vya kijeshi vya Iran bila shaka vitalipiza kisasi damu ya mashahidi madhlumu waliouawa katika hujuma ya kigaidi katika mkoa wa Sistan na Baluchistan (kusini mashariki mwa Iran)."
-
Kiongozi Muadhamu: Mashirika ya kijasusi ya kigeni yanahusika na shambulio la kigaidi nchini Iran
Feb 15, 2019 03:17Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amelaani shambulio la kigaidi lililolenga wafanyakazi wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH Jumatano usiku na kusema kuwa mashirika ya kijasusi ya baadhi ya nchi za ndani na nje ya eneo hili ndiyo yaliyohusika na jinai hiyo.
-
Watu wengine 7 wauawa katika hujuma ya kigaidi nchini Msumbiji
Feb 09, 2019 07:44Kwa akali watu saba wameuawa katika shambulizi jingine la kigaidi huko kaskazini mwa Msumbiji.
-
Magaidi wasambaratishwa Dusit Hotel, majeshi ya Kenya yapongezwa
Jan 16, 2019 16:17Baada ya Rais Uhuru Kenya wa Kenya kulihutubia Taifa na kutangaza kumalizika shambulizi la kigaidi na utekaji nyara uliodumu kwa muda wa masaa 19 katika Hoteli ya Dusit jijini Nairobi, viongozi mbalimbali wakiwemo wanasiasa wamejitokeza kuvipongeza vikosi vya ulinzi vya nchi hiyo kwa kufanikiwa kuwasambaratisha magaidi hao.
-
Watu kadhaa wauawa katika shambulizi la kigaidi Nairobi, Kenya
Jan 15, 2019 15:30Kwa akali watu watatu wamethibitishwa kuuawa huku wengine wengi wakijeruhiwa katika shambulizi la kigaidi, lililotokea katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi.
-
Watu 12 wauawa katika hujuma ya kigaidi nchini Msumbiji
Jan 15, 2019 14:40Kwa akali watu 12 wameuawa katika shambulizi la kigaidi kaskazini mwa Msumbiji.
-
Iran yalaani shambulizi la kigaidi dhidi ya watalii nchini Misri
Dec 30, 2018 14:37Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani shambulizi la kigaidi la hivi karibuni lililopelekea kuuawa watalii kadhaa huko nchini Misri.