-
Watu kadhaa wakiwemo watalii wauawa katika mripuko wa bomu Misri
Dec 29, 2018 08:02Watalii watatu wa Vietnam na raia mmoja wa Misri wameuawa baada ya bomu lililotegwa kando ya barabara kuripukia basi lililokuwa likifanya safari ya kitalii karibu na Mapiramidi ya Giza nje kidogo ya mji mkuu wa Misri, Cairo.
-
Iran yalaani shambulizi la kigaidi katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Libya
Dec 26, 2018 14:43Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani shambulio la kigaidi lililotokea jana katika jengo la Wizara ya Mambo ya Nje ya Libya mjini Tripoli.
-
Shambulizi la kigaidi laua watu 50 wakisherehekea Maulidi Afghanistan
Nov 21, 2018 07:53Watu wasiopungua 50 wameuawa katika shambulizi la kigaidi lililolenga mkusanyiko wa Waislamu waliokuwa katika sherehe za Maulidi ya Mtume Muhammad (SAW) katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul.
-
Watu 16 wauawa katika shambulizi la kigaidi Somalia
Oct 14, 2018 07:06Kwa akali watu 16 wameuawa katika shambulizi la bomu lililofanywa na kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab katika mji wa Baidoa nchini Somalia.
-
Makundi ya kigaidi ya DAESH (ISIS) na Al-Ahvaziyyah yameshirikiana katika jinai ya Ahvaz
Sep 24, 2018 03:49Baada ya kupita siku moja tu tangu lilipotokea shambulio la kigaidi katika mji wa Ahvaz kusini magharibi mwa Iran zimepatikana taarifa mpya kuhusiana na shambulio hilo.
-
Umoja wa Mataifa walaani shambulizi la kigaidi la Ahvaz Iran
Sep 23, 2018 07:50Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres amelaani shambulio la kigaidi lililoua makumi ya watu kusini magharibi mwa Iran.
-
Zarif: Waungaji mkono wa ugaidi na bwana wao Marekani ndio wanaobeba dhima ya shambulio la kigaidi Ahvaz
Sep 23, 2018 02:42Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani shambulio la kigaidi lililofanywa leo dhidi ya gwaride la vikosi vya ulinzi mjini Ahvaz kusini magharibi mwa nchi na kueleza kwamba: Iran inawabebesha dhima ya mashambulio ya aina hiyo waungaji mkono wa ugaidi katika eneo na bwana wao Marekani.
-
Hujuma ya kigaidi katika mji wa Ahvaz kusini mwa Iran
Sep 22, 2018 08:15Magaidi wametekeleza hujuma ya kigaidi wakati wa kufanyika gwaride ya majeshi ya Iran katika mji wa Ahvaz kusini mwa Iran.
-
Hujuma za kigaidi zalipuka tena Msumbiji, 12 wauawa
Sep 21, 2018 13:46Kundi la kigaidi linaloaminika kuwa na mfungamano na al-Shabaab ya Somalia limevamia kijiji kimoja katika mkoa wa Cabo Delgado kaskazini mwa Msumbiji na kuua watu 12 na kujeruhiwa wengine kadhaa.
-
Magaidi washambulia msikiti Afghanistan na kuua waumini 25 katika Swala ya Ijumaa
Aug 03, 2018 15:29Magaidi wakufurishaji wameushambulia msikiti wakati wa Swala ya Ijumaa katika mkoa wa Paktia mashariki mwa Afghanistan na kuua waumini wasiopungua 25 na kujeruhi wengine zaidi ya 40.