-
Askari polisi 9 wauawa katika shambulizi la kigaidi nchini Tunisia
Jul 08, 2018 13:32Maafisa tisa wa polisi wameuawa katika shambulizi la kigaidi lililotokea magharibi mwa Tunisia, karibu na mpaka wa nchi hiyo na Algeria.
-
UN yalaani mashambulizi ya Boko Haram yaliyowalenga Waislamu nchini Nigeria
Jun 19, 2018 03:53Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani mashambulizi ya genge la kigaidi la Boko Haram yaliyowalenga Waislamu waliokuwa wakisherehekea sikukuu ya Idul Fitr kaskazini mashariki mwa Nigeria
-
Waislamu 31 waliokuwa wanasherehekea Idi wauliwa na Boko Haram nchini Nigeria
Jun 17, 2018 15:15Watu wasiopungua 31 wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika miripuko ya mabomu iliyotokea usiku wa kuamkia leo kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Watu wawili wauawa kwa kudungwa visu msikitini nchini Afrika Kusini
Jun 14, 2018 08:12Kwa akali watu wawili wamethibitishwa kuuawa kwa kudungwa visu wakiwa msikitini, baada ya mtu mmoja kuvamia eneo hilo la ibada nchini Afrika Kusini.
-
Magaidi wafanya mauaji mengine ya kinyama nchini Msumbiji
Jun 06, 2018 07:27Kundi la kigaidi linaloaminika kuwa na mfungamano na al-Shabaab ya Somalia limevamia kijiji kimoja katika mkoa wa Cabo Delgado kaskazini mwa Msumbiji na kuua watu saba kwa kuwakata vichwa.
-
Watu 7 wauawa katika shambulizi la kigaidi karibu na msikiti Nigeria
May 28, 2018 14:41Kwa akali watu saba wameuawa katika shambulizi la kigaidi lililotokea karibu na msikiti mmoja kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
50 wauawa na kujeruhiwa katika wimbi la hujuma dhidi ya makanisa Indonesia
May 13, 2018 07:38Mashambulizi matatu ya kigaidi dhidi ya makanisa yamepelekea watu wasiopungua 10 kuuawa na wengine zaidi ya 50 kujeruhiwa nchini Indonesia.
-
Shambulizi dhidi ya makao makuu ya Tume ya Uchaguzi Libya laua 14 + Video
May 02, 2018 14:58Kwa akali watu 14 wameuawa baada ya kundi la kigaidi kushambulia kwa mabomu na risasi makao makuu ya Tume ya Uchaguzi nchini Libya leo Jumatano.
-
Mashambulizi pacha ya mabomu yaua kadhaa msikitini Nigeria
Apr 22, 2018 14:01Mashambulizi pacha ya mabomu yameua waumini watatu wa Kiislamu msikitini katika mji wa Bama jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Iran yaalani shambulio la kigaidi Kabul
Apr 22, 2018 13:52Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani shambulio la kigaidi lililotekelezwa leo huko Kabul mji mkuu wa Afghanistan na kulitaja kuwa ni kitendo cha jinai na kisicho cha kibinadamu.