-
Watu 6 wauawa katika shambulizi la bomu Mogadishu, Somalia
Apr 07, 2018 07:53Kwa akali watu sita wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa kufuatia milipuko pacha ya mabomu iliyotokea katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu jana Ijumaa.
-
Shambulizi la 'ISIS' laua makumi ya watu nchini Mali
Jan 26, 2018 07:18Makumi ya watu wameripotiwa kupoteza maisha katika shambulizi la bomu la kutegwa ardhini linaloaminika kufanywa na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) nchini Mali.
-
12 wauawa, 48 wajeruhiwa katika shambulio la Boko Haram nchini Nigeria
Jan 18, 2018 07:11Watu 12 wameuawa na makumi ya wengine wamejeruhiwa katika shambulio la kujilipua kwa bomu lililotekelezwa sokoni katika jimbo la Borno kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Al-Shabaab yadai kuua askari 5 wa Amisom, Somalia
Jan 01, 2018 04:21Kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab linadai kwamba limeua askari watano wa Kikosi cha Askari wa Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika Amisom katika mlipuko wa bomu uliotokea mjini Mogadishu jana Jumapili.
-
40 wauawa katika shambulizi la kigaidi Kabul, Afghanistan
Dec 28, 2017 08:02Kwa akali watu 40 wameuwa na wengine 30 kujeruhiwa katika shambulizi la kigaidi lililoutikisa mji mkuu wa Afghanistan, Kabul.
-
Gaidi ajiripua na kuua watu wawili msikitini Cameroon
Dec 12, 2017 08:13Mshambuliaji aliyekuwa amejifunga bomu amejiripua na kuua watu wawili katika msikiti mmoja ulioko kaskazini mwa Cameroon karibu na mpaka wa nchi hiyo na Nigeria mapema leo.
-
Rais wa Ufaransa akaribishwa Burkina Faso kwa shambulizi la guruneti
Nov 28, 2017 07:39Kwa akali watu watatu wamejeruhiwa katika shambulizi la guruneti nchini Burkina Faso, lililofanyika masaa machache kabla ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kuanza ziara ya kuitembelea nchi hiyo ya Kiafrika.
-
Viongozi wa Iran waendelea kulaani shambulizi la kigaidi dhidi ya Waislamu msikitini Misri
Nov 25, 2017 16:20Viongozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wameendelea kulaani vikali shambulizi la kigaidi lililolenga Waislamu waliokuwa wakitekeleza ibada ya Swala ya Ijumaa msikitini katika eneo la Sinai nchini Misri na kuua mamia ya watu wasio na hatia yoyote.
-
Watu 235 wauawa katika shambulizi dhidi ya msikiti huko Sinai, Misri
Nov 24, 2017 14:15Kwa akali watu 185 wameuawa na makumi ya wengine wamejeruhiwa katika shambulizi la kigaidi dhidi ya msikiti mmoja katika Peninsula ya Sinai nchini Misri.
-
Kuuliwa Waislamu msikitini katika shambulio la bomu la kujitoa mhanga nchini Nigeria
Nov 22, 2017 07:53Watu wasiopungua 50 wameaga dunia katika mlipuko wa bomu uliotokea msikitini kaskazini mashariki mwa Nigeria.