-
Amnesty International: Saudia inaitumia vibaya michezo kufunika jinai zake
Feb 04, 2023 02:15Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetangaza kuwa utawala wa Saudi Arabia unaitumia vibaya michezo kuficha rekodi yake chafu, ya maafa na ya kutisha ya haki za binadamu.
-
Amnesty yaitaka Saudi Arabia kusitisha hukumu ya kifo dhidi ya vijana watatu
Oct 12, 2022 08:16Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeitaka serikali ya Saudi Arabia kusitisha utekelezaji wa hukumu ya kifo dhidi ya vijana watatu wa nchi hiyo.
-
Amnesty yaitaka serikali ya Ethiopia ifanye uchunguzi kuhusu mauaji ya raia zaidi ya 400
Jul 22, 2022 02:36Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeitaka serikali ya Ethiopia iendeshe uchuguzi kuhusiana na mauaji ya kikabila ya raia zaidi 400 yaliyofanyika katika eneo la Oromia.
-
Amnesty yamwandikia barua Rais wa Tanzania kupinga kesi ya mauaji inayowakabili Wamaasai 25
Jul 17, 2022 11:11Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limemwandikia barua Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kutaka operesheni maalumu ya kuwahamaisha watu wa jamii ya Maasai kutoka Loliondo katika mbuga ya taifa ya Serengeti, isitishwe mara moja.
-
Amnesty International: Ukandamizaji umeongezeka sana nchini Saudi Arabia
Aug 04, 2021 00:55Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetangaza kuwa, Saudi Arabia imezidisha ukandamiza dhidi ya raia baada ya kumalizika muda wa uenyekiti wake katika kundi la G20.
-
Kukosolewa vikali madai ya kuwepo uhuru wa kujieleza nchini Ufaransa
Nov 16, 2020 02:33Mwenendo wa chuki na kukejeliwa itikadi za Waislamu nchini Ufaransa umeshika kasi katika miaka ya karibuni, na katika uwanja huo kuchapishwa tena na jarida la Charlie Hebdo, vikatuni vinamvyodhalilisha Mtume Mtukufu wa Uislamu (saw) kumewakasirisha sana Waislamu.
-
Wasiwasi wa Amnesty International kuhusu ghasia na machafuko katika kampeni za uchaguzi Marekani
Oct 24, 2020 11:08Kupamba moto kampeni za uchaguzi nchini Marekani kwa katika kipindi hiki cha kukaribia tarehe ya uchaguzi wa rais hapo Novemba 3 mwaka huu, na jitihada za Rais Donald Trump wa nchi hiyo ambaye ni mgombea wa chama cha Republican za kutaka kuzusha hali ya mvutano katika jamii ya Marekani, vimeibua hali ya wasiwasi.
-
Serikali ya Tanzania yatuhumiwa kubana na kukandamiza upinzani kuelekea uchaguzi wa Oktoba 28
Oct 12, 2020 13:56Serikali ya Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania imetunga na kutekeleza sheria kali za kuogofya ili kukandamiza kila aina ya upinzani, wakati nchi hiyo inaelekea kwenye uchaguzi mkuu unaotazamiwa kufanyika tarehe 28 ya mwezi huu wa Oktoba.
-
AI yataka kufanyike uchunguzi huru kuhusu mauaji ya kikatili ya Khashoggi
Sep 12, 2020 00:43Shirika la kimataifa la haki za binadamu la Amnesty International jana Ijumaa lilitoa mwito wa kufanyika uchunguzi huru wa kimataifa na usiopendelea upande wowote kuhusu mauaji ya kikatili aliyofanyiwa mwandishi Jamal Khashoggi katika ubalozi wa Saudi Arabia nchini Uturuki.
-
Amnesty International: Saudi Arabia ina mahakama ya siri kwa ajili ya wapinzani
Feb 07, 2020 07:46Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International limetangaza kuwa, Saudi Arabia ina mahakama moja ya siri ambayo hutumika kushughulikia mafaili yanayojulikana kama ya ugaidi, mahakama ambayo inatambulika kama 'silaha ya ukandamizaji dhidi ya wakosoaji.