-
Amnesty International yaikosoa Ufaransa kwa kuendelea kuziuzia silaha Saudia na Imarati
Sep 01, 2019 13:01Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International limeikosoa vikali serikali ya Ufaransa kutokana na hatua yake ya kuendelea kuziuzia silaha Saudi Arabia na Imarati.
-
Amnesty: Wafungwa 130 wa Misri wanafanya mgomo wa kula, wanaishi katika hali mbaya
Aug 01, 2019 02:57Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetangaza kuwa, wafungwa 130 wa Misri wanafanya mgomo wa kula katika mojawapo ya jela za nchi hiyo.
-
Amnesty International: Mahakama za Denmark hazichukui hatua kali kwa kesi za ubakaji
Mar 14, 2019 02:31Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limekosoa vikali udhaifu wa vyombo vya usalama na mahakama vya Denmark katika kukabiliana na ongezeko la vitendo vya ukatili wa kijinsia na ubakaji nchini humo.
-
AI yataka kusititishwa shughuli za mashirika manne katika vitongoji vya walowezi wa Kizayuni huko Palestina
Jan 30, 2019 07:32Shirika la Msamaha Duniani (Amnesty International) limetaka kusimamishwa shughuli za mashirika manne ya kitalii ndani ya vitongoji vya walowezi wa Kizayuni au kushirikiana nao.
-
Amnesty: Maisha ya raia wa al Hudaidah, Yemen yamo hatarini
Nov 08, 2018 03:12Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeeleza wasiwasi wake mkubwa kuhusu mapigano makali yanayoendelea katika mkoa wa al Hudaidah huko kwenye pwani ya magharibi mwa Yemen na kusema kuwa, maisha ya raia katika eneo hilo yanakabiliwa na hatari kubwa.
-
Amnesty International yalaani kifungo cha maisha dhidi ya Sheikh Ali Salman
Nov 05, 2018 07:13Shirika la Msamaha Duniani, Amnesty International, limetoa taarifa likilaani hukumu ya kifungo cha maisha iliyotolewa na watawala wa Bahrain dhidi ya Sheikh Ali Salman, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kiislamu ya al-Wifaaq.
-
Amnesty International yakosoa kimya cha jamii ya kimataifa kuhusu jinai za Saudia huko Yemen
Oct 24, 2018 16:38Shirika la Msamaha Duniani (Amnesty International) limekosoa hatua ya serikali na taasisi za kimataifa za kunyamazia kimya jinai ya mauaji ya raia wa Yemen yanayofanywa na Saudi Arabia.
-
Amnesty International yaitaka Uhispania isishirikiane na Saudi Arabia katika jinai zake nchini Yemen
Sep 18, 2018 03:58Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International limeitaka serikali ya Uhispania iache kuiuzia silaha Saudi Arabia ili isitangazwe kuwa mmoja wa washirika wa utawala wa Aal Saud katika jinai za kivita huko nchini Yemen.
-
Indhari ya Amnesty International kwa EU juu ya ushiriki wake katika mashambulizi ya anga ya Marekani
Apr 29, 2018 13:15Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limezionya nchi za Ulaya ambazo zina mpango wa kushiriki katika mashambulizi ya ndege zisizo na rubani ya Marekani, kutokana na kutekelezwa mauaji ya raia katika hujuma hizo.
-
Indhari ya Amnesty International kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu Mauritania
Mar 27, 2018 02:29Shirika la Msamaha Duniani (Amnesty International) limetahadharisha kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Mauritania na kulaani kukandamizwa watetezi wa haki za binadamu nchini humo.