-
Maandamano makubwa kila pembe ya Marekani na mwito wa kuchukuliwa hatua kali zaidi za kudhibiti silaha moto
Jun 13, 2022 07:02Ongezeko kubwa la matukio ya ufyatuaji risasi dhidi ya halaiki nchini Marekani na kuongezeka pia idadi ya watu wanaouawa kwa mashambulio ya utumiaji wa silaha hizo kunakotokana na upuuzaji wa viongozi wa White House na mashinikizo ya lobi za watengezaji silaha, vimeibua wimbi kubwa la maandamano ya malalamiko ya raia wa nchi hiyo.
-
Wasiwasi wa kuongezeka utumiaji mabavu unaotokana na ubebaji silaha
Jun 01, 2022 01:19Sambamba na kushadidi vitendo vya utumiaji mabavu vinavyotokana na umiliki kiholela na ubebaji silaha nchini Marekani, kumeibuka wasiwasi mkubwa katika mataifa jirani na Marekani.
-
Mkuu wa maulamaa wa Iraq: Marekani inadhamini 85% ya silaha za DAESH (ISIS)
May 25, 2022 10:39Mkuu wa Muungano wa Maulamaa wa Kiislamu Iraq amesema, Marekani ndiyo inayodhamini asilimia 85 ya silaha za kundi la kigaidi na ukufurishaji la DAESH (ISIS).
-
Tukio la karibuni la ufyatuaji risasi nchini Marekani; kuendelea vurugu, hofu na ukatili
Apr 14, 2022 09:53Vurugu zinazotokana na uhuru wa kubeba silaha na mauaji ya kikatili zinaendelea nchini Marekani, ambapo hivi karibuni watu 29 walijeruhiwa kwa risasi, baadhi yao wakiwa katika hali mbaya, zilizofyatuliwa Jumanne asubuhi katika kituo cha njia ya treni ya chini kwa chini huko Brooklyn mjini New York.
-
Marekani yaendelea kuiuzia Misri silaha licha ya faili lake jeusi la haki za binadamu
Jan 27, 2022 02:37Marekani imeidhinisha mauzo ya silaha zenye thamani ya dola bilioni 2.5 kwa Misri licha ya serikali ya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika kuendelea kuandamwa na shutuma za ukiukaji wa haki za binadamu.
-
Kuongezeka vitendo vya ukatili nchini Marekani; 400 wauawa katika siku nne za mwanzo wa mwaka 2022
Jan 06, 2022 08:41Vitendo vya ukatili na utumiaji mabavu vinatishia kwa kiwango kikubwa sana maisha ya raia wa Marekani na ripoti zinassma kuwa, Wamarekani 400 wameuawa kwa kupigwa risasi katika siku nne tu za mwanzo za mwaka huu mpya wa 2022 na wengine 277 wamejeruhiwa.
-
Ilhan Omar: Uamuzi wa Marekani kuiuzia silaha Saudi Arabia haukubaliki
Nov 12, 2021 02:23Mbunge wa chama cha Democratic katika Baraza la Wawakilishi la Marekani amesema, hatua ya nchi hiyo kuiuzia silaha Saudi Arabia haikubaliki kutokana na silaha hizo kutumika kuulia raia wa Yemen.
-
Riyadh yaomba msaada wa silaha wa Marekani ili kukabiliana na mashambulizi ya jeshi la Yemen
Oct 29, 2021 03:47Ripoti imefichua kuwa Saudi Arabia imeiomba Marekani iipatie silaha ili iboreshe mifumo yake ya makombora na hivyo kuweza kukabiliana na mashambulizi ya jeshi la Yemen.
-
Kongresi kuzuia mauzo ya silaha kwa tawala za Saudi Arabia na Israel
Sep 20, 2021 08:01Mbunge wa Kongresi ya Marekani amebuni muswada unaopiga marufuku uuzaji wa silaha za nchi hiyo kwa tawala za Saudi Arabia na Israel.
-
Palestine Action yavamia kiwanda cha kuzalisha silaha cha Israel nchini Uingereza
Aug 23, 2021 12:50Kama sehemu ya kampeni yao ya kitaifa dhidi ya kiwanda kinachotengeneza silaha za Israeli, wanaharakati wanaounga mkono Palestina nchini Uingereza wamefanya maandamano nje ya kiwanda cha kampuni hiyo kwenye eneo Oldham na kuvamia paa la kiwanda hicho.