-
Wamarekani zaidi ya elfu 13 wameaga dunia kwa silaha moto tangu mwanzoni mwa mwaka huu
Apr 27, 2021 04:20Ripoti iliyotolewa katika makavazi ya ukatili wa silaha nchini Marekani inaonyesha kuwa, zaidi ya watu elfu 13 wamepoteza maisha katika matukio ya ufyatuaji risasi nchini humo tangu mwanzoni mwa mwaka huu wa 2021.
-
Mgogoro wa mauaji ya kiholela Marekani na kilio cha Joe Biden, rais wa nchi hiyo
Apr 10, 2021 02:31Rais Joe Biden wa Marekani amelalamikia vikali mashambulizi ya silaha moto na mauaji ya kiholela nchini humo na ametaka uhalifu huo ukomeshwe mara moja. Amesema, mashambulizi ya silaha moto Marekani ni sawa na ugonjwa wa kuambukiza na ni aibu kwa nchi hiyo kimataifa.
-
Saudi Arabia; mnunuzi mkubwa zaidi wa silaha ulimwenguni
Mar 17, 2021 02:26Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stokholm (SIPRI) imetangaza kuwa, kuanzia mwaka 2016 hadi 2020 Saudi Arabia iliongeza kwa asilimia 61 ununuzi wa silaha ikilinganishwa na kipindi cha kati ya 2011 na 2015.
-
Saudi Arabia, mnunuzi mkubwa zaidi wa silaha duniani; Marekani muuzaji mkubwa
Mar 15, 2021 12:06Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stokholm, SIPRI, zaidi ya thuluthi moja ya silaha zilizonunuliwa duniani katika kipindi cha miaka mitano iliyopita zilinunuliwa kutoka Marekani na nusu ya silaha hizo zilitumwa katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Oxfam yaitaka UK iache kuiuzia Saudia silaha baada ya ripoti ya mauaji ya Khashoggi
Mar 01, 2021 02:20Shirika la misaada ya kibinadamu la Oxfam limeitaka Uingereza isimamishe mauzo ya silaha zake kwa Saudi Arabia, baada ya ripoti ya kiintelijensia ya Marekani kusema Mohammad Bin Salman, mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia ndiye aliyetoa amri ya kuuawa Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari aliyekuwa akiukosoa utawala wa Aal-Saud.
-
Silaha za NATO zakamatwa katika makao ya Daesh Homs, nchini Syria
Feb 18, 2021 08:16Jeshi la Syria limegundua ghala la silaha ziliundwa na Shirila la Kujihami la Nchi za Magharibi (NATO) katika mji wa Homs baada ya kuua magaidi kadhaa wa kundi la Daesh katika eneo hilo.
-
Mashirika 99 yataka kusitishwa mauzo ya silaha kwa Saudia, UAE
Feb 13, 2021 08:53Mashirika 99 ya kimataifa ya kutetea haki za binadamu yametoa mwito wa kusitishwa mauzo ya silaha kwa Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu sambamba na kuondolewa mzingiro dhidi ya Yemen.
-
Uamuzi wa Italia kupiga marufuku uuzaji wa silaha zake kwa muungano wa Saudia
Feb 01, 2021 02:39Muungano wa kivita wa Saudia unaendeleza vita vyake vya kichokozi dhidi ya watu wasio na hatua wa Yemen na hata katika kipindi hiki cha janga la COVID-19 vita hivyo vinaendelea jambo ambalo limeibua malalamiko makali kutoka kwa mashirika ya kutetea haki za binadamu.
-
Pompeo ashitakiwa juu ya mauzo ya haraka ya silaha kwa Imarati
Jan 01, 2021 04:15Kesi imewasilishwa katika Mahakama ya Federali ya Marekani kuzuia hatua ya Waziri wa Mambo ya Nje ya nchi hiyo, Mike Pompeo, ya kuuzia silha aUmoja wa Falme za Kiarabu bila kufuata taratibu zinazotakiwa, katika wiki za mwisho za urais wa Donald Trump.
-
Jeshi la Syria lakamata silaha za Israel mikononi mwa magaidi
Dec 15, 2020 02:30Jeshi la Syria limekamata kiwango kikubwa cha silaha za kila namna za utawala wa Kizayuni wa Israel zilizokuwa zinatumiwa na magenge ya kigaidi kufanya jinai dhidi ya raia wa nchi hiyo ya Kiarabu.