-
Pompeo ahalalisha mauzo ya silaha kwa Saudia kwa kuichafua Iran
Oct 15, 2020 07:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amekariri tuhuma na madai yake yasiyo na msingi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, na kutumia uenezaji huo wa chuki dhidi ya Iran kuhalalisha mauzo ya silaha zenye thamani ya mabilioni ya dola za US kwa Saudi Arabia.
-
AU yataka kupokonywa silaha raia wanaozimiliki kinyume cha sheria Afrika
Sep 06, 2020 07:43Umoja wa Afrika (AU) umesisitizia udharura wa kukusanya mamilioni ya silaha zinazimilikiwa na raia kinyume cha sheria katika nchi za Afrika.
-
Zarif aushangaa uchu wa Pompeo wa kurundika silaha za US Asia Magharibi
Aug 25, 2020 08:06Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemkosoa vikali Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani kwa kuvunja sheria za nchi hiyo ili kukidhi uchu wake wa kutaka kuuza silaha za kijeshi kwa wingi katika nchi za eneo la Asia Magharibi.
-
Watu 21 wapigwa risasi mjini Washington, DC Marekani
Aug 10, 2020 08:07Watu 21 wamepigwa risasi katika mji mkuu wa Marekani, Washington DC, ambapo hadi sasa mtu mmoja anaripotiwa kupoteza maisha.
-
Independent: Wafanyabiashara wa Kimagharibi wamemtapeli Haftar mamilioni ya dola
Jun 12, 2020 02:37Gazeti la Independent linalochapishwa nchini Uingereza limefuchua kwamba mamluki wa nchi za kigeni na wafanyabiashara wa nchi za Magharibi wakiwemo Waingereza, wamemtapeli jenerali muasi Khalifa Haftar mamilioni ya dola za Kimarekani.
-
Saudia Arabia ndio mnunuzi mkubwa wa silaha duniani
May 17, 2020 02:20Kwa mujibu wa vyombo vya habari, utawala wa Saudi Arabia bado unashikilia nafasi ya kwanza kwa ununuzi wa silaha duniani.
-
Wizara ya Mambo ya Nje ya Yemen: Mauzo ya silaha kwa Saudia yameanza tena
Apr 23, 2020 07:53Wizara ya Mambo ya Nje ya Serikali ya Wokovu wa Kitaifa nchini Yemen, imetoa taarifa inayoashiria kuanza tena mauzo ya silaha kwa Saudi Arabia na Imarati kutoka kwa baadhi ya nchi za Magharibi, na kulaani vikali hatua hiyo.
-
Silaha za Marekani zagunduliwa katika ngome za genge la Daesh (ISIS) Kirkuk, Iraq
Apr 17, 2020 04:38Mmoja wa makamanda wa Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi ya Iraq amevieleza vyombo vya habari kuhusu taarifa ya kugunduliwa silaha za Marekani katika ngome za kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) katika mkoa wa Kirkuk, kaskazini mwa Iraq.
-
The Guardian: Imarati imempatia Haftari tani 5,000 za silaha
Mar 13, 2020 02:50Ripoti iliyoandikwa na gazeti la Guardian la Uingereza imefichua kuwa, nchi ya Umoja wa Falme wa Kiarabu (Imarati) imempatia jenerali mstaafu wa Libya, Khalifa Haftar tani elfu tano za silaha tangu mwezi Januari mwaka huu.
-
Saudia yaendelea kushikilia rekodi ya kuwa mnunuzi mkuu wa silaha duniani
Mar 10, 2020 08:15Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stockholm (SIPRI) imetangaza kuwa, Saudi Arabia ndiyo nchi inayoongoza kwa ununuaji silaha duniani katika kipindi cha miaka mitano iliyopita.