-
Saudia yaendelea kushikilia rekodi ya kuwa mnunuzi mkuu wa silaha duniani
Mar 10, 2020 04:45Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stockholm (SIPRI) imetangaza kuwa, Saudi Arabia ndiyo nchi inayoongoza kwa ununuaji silaha duniani katika kipindi cha miaka mitano iliyopita.
-
Yemen: Saudia na washirika wake wanatumia silaha za Marekani, Uingereza na Ufaransa dhidi ya raia
Jan 19, 2020 09:51Waziri Mkuu wa Serikali ya Uokovu ya Yemen amesema kuwa, muungano unaoongozwa na Saudi Arabia unatumia silaha hatari zilizotengenezwa na Marekani, Uingireza na Ufaransa dhidi ya raia wa Yemen.
-
Kushtakiwa Ujerumani katika Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) kwa kuiuzia silaha Saudia
Dec 18, 2019 23:01Kuendelea vita vya Yemen na kuuawa maelfu ya raia wa nchi hiyo katika vita hivyo, kumezipelekea baadhi ya asasi na mashirika ya haki za binaadamu kukosoa vikali siasa mbovu na hatua za nchi za Ulaya ikiwemo ya kuuzia silaha muungano vamizi wa Saudia unaoongoza vita hivyo dhidi ya Yemen.
-
Ijumaa Nyeusi, Wamarekani walinunua silaha zinazolitosha jeshi la nchi kavu
Dec 03, 2019 23:31Idara ya Upepezi ya Marekani (FBI) imetangaza kwamba imepokea maombi zaidi ya laki mbili ya kufanya uchunguzi kuhusiana na mauzo ya silaha za moto kwa mnasaba wa siku ya Ijumaa Nyeusi (Black Friday), kiwango ambacho ni cha pili kwa ukubwa cha mauzo ya silaha tangu mwaka 1998.
-
Afrika Kusini yasitisha uuzaji silaha kwa Saudia, UAE
Nov 23, 2019 08:27Afrika Kusini imetangaza kuwa inasitisha uuzaji wa silaha zake kwa Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) baada ya kubainika kuwa tawala hizo mbili zinawakabidhi wanamgambo wa Yemen baadhi ya silaha hizo na hivyo kukiuka mapatano ambayo yanazuia silaha zilizonunuliwa kutoka Afrika Kusini kufikia pande za tatu.
-
Vyombo vya habari vyafichua, Marekani inapeleka silaha kwa siri huko Yemen
Nov 08, 2019 10:58Vyombo vya habari vimefichua kwamba, wiki iliyopita zana na silaha za kivita za Marekani ziliingizwa kusini mwa Yemen zikibebwa na meli ya Saudi Arabia.
-
Kuuziwa silaha Saudi Arabia; mwendelezo wa siasa za kindumakuwili za madola ya Ulaya mkabala na vita vya Yemen
Oct 11, 2019 08:51Katika hali ambayo, muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia ungali unaendelea kufanya mauaji huko nchini Yemen, na madola ya Magharibi nayo yameendelea kuiimarisha kijeshi Riyadh kutokana na kuipatia silaha na zana za kijeshi, Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amejitoa kimasomaso na kuzitaka Saudia na Imarati kutotumia katika vita vyao huko Yemen silaha zilizotengenezwa nchini Ufaransa kwani kufanya hivyo kunaweza kupelekea kuuawa raia.
-
Papa azikosoa nchi zinazouza silaha na kuwafukuza wakimbizi
Sep 30, 2019 04:15Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amesema mashindano ya kuuza silaha yanayofanywa na nchi fulani duniani ndiyo sababu ya ghasia na mauaji ya watu wakiwemo watoto wadogo katika nchi zinazoshuhudia vita katika kona mbalimbali duniani.
-
Uingereza yakiuka marufuku ya kuiuzia silaha Saudia
Sep 17, 2019 22:09Serikali ya Uingereza imekiri kuwa ilikiuka marufuku ya kuuzia silaha utawala wa Aal-Saud wa Saudi Arabia unaoua raia wasio na hatia huko Yemen.
-
Wapinzani wa vita Uingereza: Serikali ya London inaziunga mkono tawala za kidikteta
Jul 31, 2019 22:25Wanaharakati wanaopinga vita nchini Uingereza (Anti-war Movement) wametangaza kuwa, takwimu za mauzo ya silaha ya nchi hiyo zinaonesha kuwa, London inazizatiti kwa silaha tawala kandamizi na kuziunga mkono.