-
Syria yagundua silaha za kemikali za magaidi, zimetengenezwa Ujerumani na UK
Apr 27, 2018 04:28Jeshi la serikali ya Syria limegundua ghala la sihala za kemikali zilizotongenezwa Ujerumani na Uingereza zilizoachwa nyuma na magaidi katika mji wa Douma.
-
Russia: Makundi ya kigaidi Syria yanawazuia wakaguzi wa OPCW kuingia Douma
Apr 19, 2018 14:27Nabu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa makundi ya kigaidi yanayoungwa mkono na nchi za kigeni huko Syria yanawazuia wakaguzi wa Shirika la Kuzuia Silaha za Kemikali (OPCW) kuingia katika mji wa Douma ulioko katika viunga ya mji mkuu wa nchi hiyo, Damascus.
-
Jumanne tarehe 17 Aprili mwaka 2018
Apr 17, 2018 03:21Leo ni Jumanne tarehe 30 Rajab 1439 Hijria sawa na 17 Aprili 2018.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran alaani hujuma hujuma dhidi ya Syria
Apr 15, 2018 13:58Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza amempigia simu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kutoa maelezo kuhusu kushiriki nchi yake katika hujuma ya makombora dhidi ya Syria.
-
Putin: Damascus haina silaha za kemikali; magaidi ndio wanaotumia silaha hizo huko Syria
Mar 11, 2018 03:28Akizungumza katika mahojiano na televisheni ya NBC, Rais wa Russia ameeleza kuwa madai yanayotolewa na Marekani kwamba serikali ya Syria inatumia silaha za kemikali ni ya uwongo na kwamba magaidi ndio wanaotumia silaha hizo huko Syria.
-
Kupigiwa kura ya turufu azimio dhidi ya Syria katika Baraza la Usalama la UN; pigo jengine kwa Marekani
Nov 18, 2017 02:58Sambamba na kuendelea kupata ushindi jeshi la Syria na waitifaki wake katika mapambano dhidi ya ugaidi, baadhi ya wanachama wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wamefanya juu chini ili kuyatia doa mafanikio hayo lakini wamegonga mwamba.
-
Marekani yakiri magaidi wanatumia silaha za kemikali Syria
Oct 21, 2017 02:28Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani kwa mara ya kwanza imekiri kwamba, magaidi wanatumia silaha za kemikali huko Syria.
-
Sisitizo la Syria la kutokuwa na silaha za kemikali
Sep 10, 2017 10:52Katika kujibu madai ya kamisheni ya uchunguzi inayosimamiwa na Baraza la Haki za Binaadamu la Umoja wa Mataifa, kuhusiana na utumiwaji wa silaha hizo na serikali ya Syria, Damascus imetangaza kuwa haina silaha za namna hiyo.
-
Jumamosi, Agosti 26, 2017
Aug 26, 2017 03:52Leo ni Jumamosi tarehe 4 Mfunguo Tatu Dhul-Hijja 1438 Hijria mwafaka na tarehe 26 Agosti 2017 Miladia.
-
Russia yazikosoa vikali Marekani na Uingereza kwa kuwapa magaidi silaha za kemikali huko Syria
Aug 17, 2017 07:39Russia imetangaza kuwa Marekani na Uingereza zinakiuka sheria za kimataifa kwa kuwapatia silaha za kemikali magaidi huko Syria.