Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Somalia

  • Magaidi 62 wa Al Shabab waangamizwa Somalia

    Magaidi 62 wa Al Shabab waangamizwa Somalia

    Dec 18, 2018 03:51

    Jeshi la Kitaifa la Somalia limetangaza kuwa magaidi 62 wa Al Shabab wameangamizwa katika oparesheni iliyofanyika kwenye eneo la Gandarsh katika jimbo la Banaadir la kusini mwa nchi hiyo.

  • Jeshi la Somalia na AU zafanya operesheni ya pamoja dhidi ya al Shabab

    Jeshi la Somalia na AU zafanya operesheni ya pamoja dhidi ya al Shabab

    Dec 17, 2018 11:52

    Mkuu wa mipango ya opereshenei ya kikosi cha Umoja wa Afrika cha kulinda amani Somalia (AMISOM) amesema kuwa, askari wa kikosi hicho na wale wa serikali wanaendesha kwa pamoja operesheni ya kupambana na magaidi wa al Shabab kusini mwa Somalia.

  • Amisom: Hatujahusika na kukamatwa kamanda wa zamani wa al-Shabaab

    Amisom: Hatujahusika na kukamatwa kamanda wa zamani wa al-Shabaab

    Dec 15, 2018 04:07

    Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia, Amisom kimekanusha madai kuwa kilihusika katika operesheni ya kumtia mbaroni aliyekuwa Naibu Kamanda wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la al-Shabaab na pia msemaji wa zamani wa genge hilo la ukufurishaji, Mukhtar Robow Abu Mansur.

  • Nchi za Afrika zataka msaada wa UN kuituliza Somalia

    Nchi za Afrika zataka msaada wa UN kuituliza Somalia

    Dec 14, 2018 03:19

    Nchi wanachama wa Umoja wa Afrika zimesema zitaomba uungaji mkono wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuiwezesha Tume ya Umoja wa Afrika nchini Somalia AMISOM kutuliza hali ya Somalia.

  • Ghasia Somalia baada ya kamanda wa zamani wa al-Shabaab kukamatwa

    Ghasia Somalia baada ya kamanda wa zamani wa al-Shabaab kukamatwa

    Dec 13, 2018 10:27

    Watu wanne wameuawa nchini Somalia katika ghasia zilizoibuka baada ya kukamatwa aliyekuwa Naibu Kiongozi wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab na pia msemaji wa zamani wa genge hilo la ukufurishaji, Mukhtar Robow Abu Mansur.

  • Bunge la Somalia labatilisha hoja ya kutokuwa na imani na Rais

    Bunge la Somalia labatilisha hoja ya kutokuwa na imani na Rais

    Dec 12, 2018 04:11

    Bunge la Somalia limebatilisha hoja iliyowasilishwa na baadhi ya wabunge waliotaka kupigiwa kura ya kutokuwa na imani na Rais wa nchi hiyo, Mohammed Abdullahi Farmajo.

  • Maandamano yafanyika Somalia kupinga kuvuliwa madaraka Rais Farmajo

    Maandamano yafanyika Somalia kupinga kuvuliwa madaraka Rais Farmajo

    Dec 11, 2018 04:38

    Wafuasi wa Rais Mohammed Abdullahi Farmajo wa Somalia wamefanya maandamano katika mji mkuu Mogadishu, kupinga kitendo cha wabunge kuwasilisha hoja bungeni ya kutaka kupiga kura ya kutokuwa na imani na rais huyo.

  • Mashambulio ya Marekani yaua watu tisa Somalia wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa Al-Shabab

    Mashambulio ya Marekani yaua watu tisa Somalia wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa Al-Shabab

    Dec 02, 2018 11:16

    Jeshi la Marekani limearifu kuwa limefanya shambulio la anga huko Somalia na kuuwa watu tisa. Jeshi hilo limedai katika taarifa mbele ya vyombo vya habari kuwa jeshi hilo mapema leo lilishambulia eneo moja huko Somalia na kuuwa wanamgambo tisa wa kundi la al Shabab.

  • Mripuko katika mji mkuu wa Somalia waua watu wanane na kujeruhi wengine 10

    Mripuko katika mji mkuu wa Somalia waua watu wanane na kujeruhi wengine 10

    Nov 26, 2018 12:17

    Jeshi la polisi nchini Somalia limetangaza habari ya kuuawa na kujeruhiwa watu wasiopungua 18 baada ya gari lililokuwa limetegwa mabomu kuripuka mjini Mogadishu leo Jumatatu.

  • Magaidi wa Al Shabab waua watu 10 katika hujuma mpya Somalia

    Magaidi wa Al Shabab waua watu 10 katika hujuma mpya Somalia

    Nov 26, 2018 04:43

    Magaidi wakufurishaji wa kundi la Al Shabab nchini Somalia wameshambulia kituo kimoja cha mafunzo ya Kiislamu kati mwa nchi hiyo na kumuua mhubiri na watu wengine tisa waliokuwa hapo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS